March 16, 2016

Diego Costa ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu na FA

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu baada yake kuonyeshwa kadi nyekundu Jumamosi wakati wa mechi ... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu baada yake kuonyeshwa kadi nyekundu Jumamosi wakati wa mechi dhidi ya Everton.
Diego Costa ameonekana aking’ata Barry kwenye mechi yao ambapo hadi alama za meno zilionekana kwenye picha video. FA imetoa statement kwamba, “Ni tabia isiyokubalika, baada kuonyeshwa kati ya pili ya njano na bado anaonyesha tabio isiyokubalika uwanjani. Hadi Alhamisi saa 12 jioni ndio muda aliopewa kutoa maeleozo”

Aidha, amepewa hadi Jumatano kutoa ufafanuzi kwa FA kuhusu ishara aliyoitoa kwa mashabiki wa Everton alipokuwa akiondoka uwanjani wakati wa mapumziko.

Kwa hiyo hadi Alhamisi ambapo Costa atatoa maelezo kuhusu hili tatizo na chama cha soka cha England kitatoa hukumu yake juu ya Costa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: