February 07, 2016

Picha ya nyumba aliyoishi Jakaya Kikwete miaka 41 iliyopita Singida.

Kama ulikua hujui, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Jakaya Kikwete safari ya kuanza ... thumbnail 1 summary
Kama ulikua hujui, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Jakaya Kikwete safari ya kuanza kukitumikia chama aliianzia ndani ya mkoa wa Singida.

Kwenye picha hiyo hapo juu, ni jana akiwa Singida kasimama mbele ya nyumba alimoishi mwaka 1975 akiwa katibu msaidizi wa TANU.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: