January 12, 2016

Mbwana Samatta They began preparations toward KRC Genk of Belgium and his award (+ Pichaz )

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta bado yupo kweny... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta bado yupo kwenye headlines January 11,Samatta January 11 alikutana na Rais mstaafu wa wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete na kupewa pongezi baada ya ushindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani.


Samatta January 11 pia aliitwa ubalozi wa Ubelgiji kwa ajili ya visa. Mbwana Samattakwa sasa anatajwa kuwa katika mipango ya mwisho ya kujiunga na klabu ya KRC Genkya Ubelgiji, hivyo kwenda kwake ubalozini hapo ni kuashiria kuanza maandalizi ya safari kwa ajili ya kwenda Ubelgiji kuanza maisha mapya ya soka.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: