June 02, 2015

Kisa Lowassa,Mzee Mengi alalamika kutukanwa, Aweka hadharani namba ya mbaya wake na Kuandika Ujumbe Huu

Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitt... thumbnail 1 summary
Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.

Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: