May 01, 2015

D’BANJ AJIGONGA KWA MPENZI WA ZAMANI

Mwanamuziki kutoka Nigeria D’ Banj. INAVYOONEKANA bado mwanamuziki D’ Banj analo penzi la kweli kwa mpenzi wake wa zamani, Adama Indimi... thumbnail 1 summary

Mwanamuziki kutoka Nigeria D’ Banj.
INAVYOONEKANA bado mwanamuziki D’ Banj analo penzi la kweli kwa mpenzi wake wa zamani, Adama Indimi baada ya juzikati kujigonga kwake kwa kumtumia ujumbe
mzuri mama wa demu huyo katika siku yake ya kuzaliwa.

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki D’ Banj Adama Indimi.Jamaa alifanya hivyo kupitia mtandao wa Instagram ambapo mbali na kumtakia heri ya kuzaliwa, pia alimuelezea mama huyo kama mkarimu na mpenda watu.
Achilia mbali hilo, D’ Banj pia akaposti ujumbe mwingine, safari hii akiuelekeza kwa dada wa Adama, Meran Indimi aliyetimiza miaka 25 juzi ambapo naye alimuelezea kama mrembo na sapota wake namba moja.
Meseji hizo zilitafsiriwa kuwa ni kama jamaa anajigonga kwa Adama na amejaribu kufikisha ujumbe kupitia ndugu zake.

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: