March 05, 2015

WEWE MWANADADA KAMA UNATAKA KUOLEWA HARAKA SANA FANYA HAYA NA UTAPATA BWANA WA KUKUOA FASTA

Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini ku... thumbnail 1 summary


Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule


Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:


Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: