January 29, 2015

MCHIZI WANGU YUKO NA DEMU MMOJA MKALI KINOMA SEMA NINI.... KAVAA VIKUKU MIGUU YOTE MIWILI...HIVI INAMAANISHA NINI ETI?

Wadau hapa niko na msela wangu out na mrembo mmoja waliokutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo thumbnail 1 summary

Wadau hapa niko na msela wangu out na mrembo mmoja waliokutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo
moja hivi siri yangu tunapata moja moja, kaja  amenivalia kimini na chini amevaa vikuku ama vicheni miguu yote miwili ...eti huwa zina ashiria au kumanisha

nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: