November 10, 2014

TAHADHARI KWA WANAOPENDA KUTUMIA TIBA ASILI NA MITISHAMBA.

Ni vizuri kuepuka matumizi holera ya dawa za asili na mitishamba kwani si kila dawa ya asili ni salama kama itatumiwa bila kufuata ushau... thumbnail 1 summary
Ni vizuri kuepuka matumizi holera ya dawa za asili na mitishamba kwani si kila dawa ya asili ni salama kama itatumiwa bila kufuata ushauri wa mtaalamu aliyesoma na kuelewa
vizuri sayansi ya tiba asilia na lishe. Mimea ina kemikali hatari za asili hivyo inapotumiwa ni lazima tahadhari zichukuliwe kuzuia madhara yanayoweza kujitokeza. Kumbuka mimea ni dawa. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: