September 02, 2014

UNAMJUA MKE WA STAA WA HIP HOP/R&B MWENYE MVUTO KULIKO WOTE

Je umewahi kujiuliza ni mke gani wa star  wa R&B au HIP HOP ni yupi mkali zaidi kati ya hawa, kama ulikua hujataamaki leo tunakuletea... thumbnail 1 summary
Je umewahi kujiuliza ni mke gani wa star  wa R&B au HIP HOP ni yupi mkali zaidi kati ya hawa, kama ulikua hujataamaki leo tunakuletea mastaa hawa wake za mastaa vyombo vya habari vya marekani vimemtaja mke wa big sean Naya Rivera kuwa mchumba ambaye ana mvuto ukiachilia mbali kina Beyonce

Naya Rivera , mchumba wa Big Sean

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: