September 14, 2014

TAZAMA WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAKIWASILI KAMBINI LEO! TZ KUNA WAREMBO AIBUUUUU

Warembo 30 wanaowan i a taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 201... thumbnail 1 summary

Warembo 30 wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazofanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.

Warembo wakiwasili kambini.

 Warembo wa Kanda ya Ziwa wakiteremka katika gari lao baada ya kuwasili na inaelezwa waliendesha kutoka jijini Mwanza.
 Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
 Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani ya gari ya Mshindi wa Kanda ya Ziwa ambayo alizawadiwa hivi karibuni katika shindano lao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: