August 03, 2014

Mashabiki wamshambulia Wiz Kid kwenye mtandao kwa sababu hii.

Faida moja wapo ya mitandao ya kijamii ni nafasi wanayopata watu maarufu kuwasiliana na mashabiki wao moja kwa moja muda wowote. Lakini ... thumbnail 1 summary
5
Faida moja wapo ya mitandao ya kijamii ni nafasi wanayopata watu maarufu kuwasiliana na mashabiki wao moja kwa moja muda wowote. Lakini kuna wakati watu hao maarufu wana
kutana na mrejesho tofauti ya ule waliotegemea kutoka kwa mashabiki wao.
Wizkid amekutana na hali hii mara nyingi lakini mpya inatokana na picha za alizo-post kuonyesha behind the scene ya video yake mpya. Video hiyo imefanyika huko Miami na baadhi ya scene zake zimefanyika kwenye Yatch.
Kitu amchacho hakijawapendeza mashabiki wake ni kutokana na Wiz Kid kutumia ni video models wazungu na walatino bila kutoa nafasi kwa model mweusi hata mmoja. Kutokana na Wizkid kutokea Africa, mashabiki wake wanadhani ingeleta maana kwa
kuhusisha models weusi lakini haukuwa hivyo.
Hiz ni baadhi ya comment za mashabiki hao na chini ni picha za video hiyo.
8
1
2
3
4

6

7

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: