August 13, 2014

MAMBO YA HUDDAH MONROE HAYA AENDELEA KUACHIA PICHA ZAKE ZA UTAMU..ZITAZAME HAPA

MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa Instagram k... thumbnail 1 summary


MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa Instagram kama kawaida yake

.
Staa huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake.



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: