August 31, 2014

Epl: Matokeo ya Man United vs Burnley haya hapa

Siku kadhaa baada ya kuvunja rekodi ya uhamisho kwa kulipa £60m kwa Real Madrid na kumsajili Angel Di Maria – leo hii Manchester Unit... thumbnail 1 summary

IMG_6875.JPG


Siku kadhaa baada ya kuvunja rekodi ya uhamisho kwa kulipa £60m kwa Real Madrid na kumsajili Angel Di Maria – leo hii Manchester United ilijitupa uwanjani kucheza na timu ya Burnley.

United wakiwa hawajashinda mechi hata moja ya mashindano, walimuanzisha mchezaji wao mpya Angel Di Maria kwenye mechi hiyo.
Matokeo ya mechi hiyo ni suluhu ya 0-0.
Robin van Persie alipoteza nafasi kadhaa za kufunga huku Golikipa David De Gea akifanya kazi ya ziada kuokoa michomo ya Burnley.

Mpaka refa anamaliza mpira Man united 0-0 Burnley. United sasa imefikisha pointi 2 katika mechi 3 walizocheza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: