July 12, 2014

DUHU ETI UWOYA NA MASOGANGE WANAISHI PAMOJA SOUTH , JE WANA ISHU GANI HUKO???....SHUKA NAYO

Hili ni swala la kujiuliza...ingawa hadi sasa Uwoya hajasema chochote...Lakini thumbnail 1 summary
Hili ni swala la kujiuliza...ingawa hadi sasa Uwoya hajasema chochote...Lakini
Masogange kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM amekuwa akiweka picha kadhaa za Irene Uwoya wakiwa pamoja huko SAUZI....Sasa katika kumaliza zaidi jana ameka video Irene akiwa anapika....HEHEHEHE

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: