April 12, 2014

TAZAMA IPHONE FAKE NA ZILE ORIGINAL

Kama kawaida leo TUMEKUJA KUWAJUZA KWA WALE MNAOPENDA KUNUNU SIMU OVYO bila kuzifanyia utafiti, kuna malalamiko mengi tumeyapata kwa watu... thumbnail 1 summary

Kama kawaida leo TUMEKUJA KUWAJUZA KWA WALE MNAOPENDA KUNUNU SIMU OVYO bila kuzifanyia utafiti, kuna malalamiko mengi tumeyapata kwa watu kadhaa
wakiwa wameingizwa mkenge kwa kununua simu hizi zinazoitwa Iphone. Kwanza Unaponunua simu yeyote hasa simu original inabidi uwe umefanya uchunguzi unaotakiwa kujua ni vitu gani vinapaswa kuwa katika Simu Original unayoenda kununua, ili usiingizwe mkenge..



IPHONE FEKI..!!
  Picha hii hapo juu ni Picha ikionyesha Moja ya Iphone Fake, Kama tunavyo jua simu zote za Iphone kwa nyuma kunaonekana tunda aina ya APPLE lililokatwa kidogo. lakini hiyo hapo juu imeonekana ni apple lakini halijakatwa, sasa ukiona tu umenunua simu ya aina hiyo ujue tayari wajanja wameshakukaribisha Town.

Pia Kuna mambo Mengi inabidi uchunguze kama picha zinavyoonyesha hapa chini




SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: