March 30, 2014

SAFARI YA DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO INGINE YAIVA-WEMA AMSINDIKIZA AIRPORT

Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond leo Asubuhi Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria thumbnail 1 summary

Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond leo Asubuhi Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja na Waghana...Diamond Ameambatana na Manager Wake Babu Tale....Have a Nice Trip Brodaaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: