February 09, 2014

MC BABU AYUBU ANENA MAZITO JUU YA DIAMOND NA KUTUMIA UCHAWI KUFANIKIWA KI MUZIKI

Diamond  Platinum. Msanii nguli  katika kuiga sauti za watu maarufu  MC Babu thumbnail 1 summary

Diamond Platinum.

Msanii nguli  katika kuiga sauti za watu maarufu  MC Babu Ayoub aliyewahi kutamba na wimbo wa chaja ya kobe ameibuka na kusema mkali wa ngololo Diamond si mchawi.
Mkali huyu wa kibao cha chaja ya kobe  ambaye pia aliwahi kushiriki katika wimbo wa ndiyo mzee wa Prof.J alifunguka mbele ya mwandishi wetu.


Msanii nguli  katika kuiga sauti za watu maarufu  MC Babu Ayoub.
ALisema “Diamond si mchawi ila anajithamini kama msanii,anajua umuhimu wake anajitambua na hata kama hajitambui basi anawashauri wazuri kwa maana ya menejiment.anajituma kwani anajua kucheza na muda na yuko kibiashara zaidi si kama wasanii wengine waliowahi kuhit,jamaa najua pia kucheza na media ,ukimpa nafasi hafanyi makosa.
Aidha msanii huyu anayetegemea kuja na kibao chake kipya amedai msanii Diamond ana haki ya kuwa hapo alipo lakini pia itakuwa ni fundisho kwa wasanii wengine waliohiti na watakaohit.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments