January 21, 2014

MLIPUKO WAUA WANNE LEBANON

Magari yakiteketea kwa moto eneo la Haret Hreik kusini mwa Beirut, Lebanon!
Mlipuko wa bomu la kujitoa mhanga katika gari umeua watu wanne na kujeruhi wengine 27 eneo la Haret Hreik kusini mwa Beirut, Lebanon!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments