December 09, 2013

DIAMOND akitumbuiza kwenye birthday K-LYNN...

Jack akimlisha cake mmewe kipenzi,mzee Mengi  Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe... thumbnail 1 summary

 Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu
, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.



 With my boy,ndugu yangu..Romy Jons
 Romy kageuka mfotoaji sasa
" pitia huku mdogo wangu''Romy akinielekeza 
nzuri ya kuingilia ukumbini tufanye yetu


 with my boys,team yangu isiyoniangusha daima

 Kazi ikaanza








     Baada ya onyesho..me na Mzee Mengi pamoja
 na mkewe Jackline tukifurahia jambo






SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments