May 28, 2014

PATA KUFAHAMU MABADILIKO YA BIG BROTHER INAYOKUJA SOOOON

Imezoeleka  kuwa  shindano   la  Big Brother  Africa  huwa linaanza mwezi May lakini la mwaka huu 2014 kutokana na kombe la dunia, litaan... thumbnail 1 summary

Imezoeleka  kuwa  shindano   la  Big Brother  Africa  huwa linaanza mwezi May lakini la mwaka huu 2014 kutokana na kombe la dunia, litaanza September 7 ikiwa
ni season 9 ambapo   awamu  hii  idadi ya nchi zinazoshiriki ni ileile ya nchi 14 ila kuna nchi moja imeondolewa.
Angola wameondolewa na sasa Rwanda wameingizwa kwa mara ya kwanza huku nchi nyingine zitakazoshiriki zikitajwa kuwa ni Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Sierra Leone, Rwanda, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia and Zimbabwe.

Washiriki wote ni kuanzia  umri wa miaka 21 ambao ni lazima wawe ni Wananchi wa hizo nchi zenyewe na wawe na hati za kusaifiria kutoka nchi hizo.

Tarehe za kuwasaka washiriki wa mwaka huu zitatangazwa mwezi  wa  sita .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: