February 20, 2014
AJALII: GARI LA JESHI LAGONGANA NA BASI LA MOHAMMED HUKO DODOMA ... JIONEE PICHA ZA TUKIO ZIMA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAUTUNDU: MAMBO YA KUMFANYIA MSICHANA ILI UWEZE KUMTEKA ASIKUACHE HATA KAMA HUJAMTONGOZA .. YAJUE HAPA
MAUTUNDU: MAMBO YA KUMFANYIA MSICHANA ILI UWEZE KUMTEKA ASIKUACHE HATA KAMA HUJAMTONGOZA .. YAJUE HAPA
Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. 12:15SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TEKNOLOJIA NDANI YA AFYA : KCMC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA UPASUAJI KUTUMIA DARAUBIN ... JIONEE UJANJA HUO HAPA
TEKNOLOJIA NDANI YA AFYA : KCMC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA UPASUAJI KUTUMIA DARAUBIN ... JIONEE UJANJA HUO HAPA
Teknolojia mpya ya upasuaji kwa njia ya Darubini katika Hospitali ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji ... 12:12SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
VIDEO YA DULLY SYKES "KIBINTI SPECIAL" YAFUNGIWA KWA KUKOSA MAADILI, DULLY MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA SAKATA HILO... SOMA HAPA
VIDEO YA DULLY SYKES "KIBINTI SPECIAL" YAFUNGIWA KWA KUKOSA MAADILI, DULLY MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA SAKATA HILO... SOMA HAPA
Msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes amesema miongoni mwasababu zilizofanya BASATA ifungie video yake ya ‘Kabinti Special’ 11:53SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BALAA: MZIMU WA POSHO WALITESA BUNGE LA KATIBU..WAKATAA POSHO YA SH LAKI TATU KWA SIKU ... SOMA HAPA
BALAA: MZIMU WA POSHO WALITESA BUNGE LA KATIBU..WAKATAA POSHO YA SH LAKI TATU KWA SIKU ... SOMA HAPA
Siku mbili baada ya kuanza kwa Bunge hilo, baadhi ya wajumbe wametaka waongewe posho kwa maelez... 11:51SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WATOTO WALIO ZALIWA WAMEUNGANA WAREJEA DAR BAADA YA KUTENGENISHWA .. SOMA TAHARIFA ZAIDI
WATOTO WALIO ZALIWA WAMEUNGANA WAREJEA DAR BAADA YA KUTENGENISHWA .. SOMA TAHARIFA ZAIDI
Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa wameungana wamerejea nchini jana wakitokea India walipokuwa kwa ajili ya kutenganishwa, tayari... 11:50SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAHI KUONA TOKA TUPATE UHURU.. SOMA HAPA KUJUA
HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAHI KUONA TOKA TUPATE UHURU.. SOMA HAPA KUJUA
Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni. 11:49SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MUME NA MKE WAZUA BALAA BUNGE LA KATIBA .. HABARI KAMILI SOMAHAPA
MUME NA MKE WAZUA BALAA BUNGE LA KATIBA .. HABARI KAMILI SOMAHAPA
Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Kati... 11:48SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA ... SIRI SIO SIRI TENA WALA RAHA YA DUNIA
ALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA ... SIRI SIO SIRI TENA WALA RAHA YA DUNIA
Denis Mtima, aliyekuwa Igunga, Tabora KWA mara ya kwanza, mzazi mwenza na msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilol... 08:12SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MWAKIFWAMBA AWAINGIZA CHAKA BONGO MUVI ... BALAA PATA HABARI KAMILI HAPA
MWAKIFWAMBA AWAINGIZA CHAKA BONGO MUVI ... BALAA PATA HABARI KAMILI HAPA
Hamida Hassan na Gladness Mallya WASANII wa sinema wanaounda Kundi la Bongo Muvi, wamemshutumu Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzan... 08:11SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE ... MAKUBWA SOMA HAPA KUJUA KISA HICHO
MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE ... MAKUBWA SOMA HAPA KUJUA KISA HICHO
Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema ... 08:10SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ARSENAL HOI KWA BAYERN WACHEZEA KICHAPO ... TAZAMA HAPA
ARSENAL HOI KWA BAYERN WACHEZEA KICHAPO ... TAZAMA HAPA
Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia Arjen Robben bila mafanikio. Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny akimchezea rafu Robben... 06:53
Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia Arjen Robben bila mafanikio.
TIMU ya Arsenal FC imepokea kipigo cha bao 2-0 kutoka kwa Bayern Munich katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa Uwanja wa Emirates, London hivi punde.
Arsenal waliokuwa nyumbani katika Uwanja wao wa Emirates wamemaliza mchezo wakiwa 10 baada ya kipa wao Wojciech Szczesny kumchezea rafu wimba wa Bayern Munich, Arjen Robben aliyekuwa anaelekea kufunga bao.
Baada ya rafu hiyo, Szczesny alizawadiwa kadi nyekundu na kuamriwa ipigwe penalti langoni mwa Arsenal japo David Alaba aliikosa.
Mechi ya leo imeshuhudia timu zote mbili zikikosa penalti ambapo ya Arsenal imekoswa na Mesut Ozil na ya Munich ikikoswa na David Alaba.
Wafungaji mabao ya Munich walikuwa Toni Kroos na Tomas Muller.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BREAKING NEWS: MCHEZAJI MIELEKA MAARUFU BIG DADDY V AFARIKI DUNIA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DRAKE ATOKA NA MWANADADA MCHEZA ,PIRA WA KIKAPU ...PATA KUMTAZAMA HAPA
DRAKE ATOKA NA MWANADADA MCHEZA ,PIRA WA KIKAPU ...PATA KUMTAZAMA HAPA
Anaitwa Skylar Diggins mchezaji wa mpira wa kikapu nchini marekani 06:47
Anaitwa Skylar Diggins mchezaji wa mpira wa kikapu nchini marekani
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MFAHAMU DEMU ALIYENASWA JUZI NA NDAVIDO ... TAZAMA PICHA ZA MITEGO NI BALAA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)