Hawa ni marafiki wawili waliowahi kufanya kazi pamoja lkn kwasababu ya kutoelewana kibiashara wakatengana kila mmoja akaenda njia yake. Seth yeye now yuko EFM radio na Fred yuko na Freeconic Ideas kampuni yake.
June 02, 2015
Mwanamuziki SHETTA Aibua Tena Vita ya Maneno Kati ya BIKIRA wa KISUKUMA na Mwaandaji wa Instagram Partyz Freeconic Ideas
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Mwanamuziki AY Ayapa Kisogo Mapenzi, Aamua Kuwa Single Boy..'Sasa ni Mwaka Mzima Umepita Bila.....'
Mwanamuziki AY Ayapa Kisogo Mapenzi, Aamua Kuwa Single Boy..'Sasa ni Mwaka Mzima Umepita Bila.....'
AY ameamua kujipa mapumziko marefu ya kutokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi. 05:51
AY ameamua kujipa mapumziko marefu ya kutokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Kisa Lowassa,Mzee Mengi alalamika kutukanwa, Aweka hadharani namba ya mbaya wake na Kuandika Ujumbe Huu
Kisa Lowassa,Mzee Mengi alalamika kutukanwa, Aweka hadharani namba ya mbaya wake na Kuandika Ujumbe Huu
Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitt... 05:51
Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Miss Tanzania Amchokoza Zari, Yadaiwa Ana Mahusiano ya Kimapenzi na Mwanamuziki Diamond Platnumz
Miss Tanzania Amchokoza Zari, Yadaiwa Ana Mahusiano ya Kimapenzi na Mwanamuziki Diamond Platnumz
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa katika pozi na miss huyo. Musa mateja Madai mazito! Mshiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Tanzani... 05:48
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa katika pozi na miss huyo.
Musa mateja
Madai mazito! Mshiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2011/12 ambaye alianza harakati za kunyakua taji hilo akitokea Mkoa wa Shinyanga na baadaye kutwaa Taji la Miss
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Mshiriki wa BBA Kutoka Namibia Amwagia Sifa Wema Sepetu
Mshiriki wa BBA Kutoka Namibia Amwagia Sifa Wema Sepetu
Mshiriki wa Big Brother Afrika ‘BBA’ Hot Shot 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Munana, amemwagia sifa aliyekuwa Miss Tanzania 2016, Wema ... 05:48
Mshiriki wa Big Brother Afrika ‘BBA’ Hot Shot 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Munana, amemwagia sifa aliyekuwa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu kuwa ni mwenye mvuto wa kipekee.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KAMA ULIKUWA HUJUI BASI HUU NDO UTOFAUTI WA ALIKIBA NA DIAMOND BOFYA HAPA ILI UUJUE
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TEAM WEMA WATAZIMIA WAKIZIONA PICHA HIZI ZA DIAMOND NA ZARI WALIPOKUWA JIJIN ARUSHA HAKIKA ZARI ANAJUA KUMSHIKA MTUU JIONEE HAPA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)