May 16, 2016

Cristiano Ronaldo becomes first footballer ever to score more than 50 goals for 6 consecutive years

Cristiano Ronaldo becomes first footballer ever to score more than 50 goals for 6 consecutive years Update Revert to draft Preview Close ... thumbnail 1 summary
Cristiano Ronaldo becomes first footballer ever to score more than 50 goals for 6 consecutive years Update Revert to draft Preview Close ComposeHTML Link
Cristiano Ronaldo has set another milestone for

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madam Rita Stuns In New Photos...Amazing!

Bongo Star Search Director, Ritha Paulsen a.k.a Madam Rita has shared her amazing photos when hanging out somewhere with lovely black jum... thumbnail 1 summary
Bongo Star Search Director, Ritha Paulsen a.k.a Madam Rita has shared her amazing photos when hanging out somewhere with lovely black jumpsuit, she has proved she still

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Blac Chyna poses with her dad

Blac Chyna seems to be closer to her family since she got with Rob..Probably filming scenes for her reality show... thumbnail 1 summary
Blac Chyna seems to be closer to her family since she got with Rob..Probably filming scenes for her reality show...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda alivyojitambulisha kwenye Birthday Party..

Usiku wa May 15 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Nuh Mziwanda alifanya Birthday Party yake aliyoifanyia maeneo ya nyumbani kwa... thumbnail 1 summary
Usiku wa May 15 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Nuh Mziwanda alifanya Birthday Party yake aliyoifanyia maeneo ya nyumbani kwake Savey Jiji Dar es salaam, Birthday Party ambayo ilihuhduriwa na mastaa mbalimbali na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LEICESTER CITY KUMTEMBEZA MWALI BARABARANI

Mabingwa wa soka nchini England, Leicester City wameandaa mabasi manne ya wazi kwa ajili ya sherehe za kutembeza kombe la ubingwa wa EPL,... thumbnail 1 summary
Mabingwa wa soka nchini England, Leicester City wameandaa mabasi manne ya wazi kwa ajili ya sherehe za kutembeza kombe la ubingwa wa EPL, katika mitaa mbali mbali ya mji wa Leicester baada ya kumaliza msimu hapo jana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WENGER ATHIBITISHA KUFANYA USAJILI WA 2016-17

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ameahidi kutumia pesa kadri itakavyohitajika katika kipindi cha dirisha la usajilia mbacho kita... thumbnail 1 summary
Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ameahidi kutumia pesa kadri itakavyohitajika katika kipindi cha dirisha la usajilia mbacho kitaanza rasmi mwezi ujao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SSC NAPOLI: ZLATAN IBRAHIMOVIC NI MBADALA WA GONZALO HIGUAIN

Uongozi wa klabu ya Società Sportiva Calcio Napoli, umethibitisha kuingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji kutoka nchini Sweden, Zla... thumbnail 1 summary
Uongozi wa klabu ya Società Sportiva Calcio Napoli, umethibitisha kuingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji kutoka nchini Sweden, Zlatan Ibrahimovic, ambaye kwa sasa yupo huru baada ya kumaliza mkataba wa kuitumikia klabu ya PSG ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MANGE Afunguka Mapya Kuhusu Video ya Msichana Aliyepigwa Video Akiwa Uchi na Kubakwa Morogoro

Mdada Mange Kimambi ameguswa na tukio la msichana kurekodiwa video akiwa uchi na kulazimishwa kufanya mapenzi na kisha video kusambazwa mit... thumbnail 1 summary
Mdada Mange Kimambi ameguswa na tukio la msichana kurekodiwa video akiwa uchi na kulazimishwa kufanya mapenzi na kisha video kusambazwa mitandaoni , ameandika haya katika ukurasa wake wa Instagram

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND Platnumz Alibomoa ile Nyumba yao Tandale na Kujenga Hii Mpya... Itazame Hapa

Hizi ni picha za Before na video inaonyesha After ya nyumba ya zamani ya familia ya Diamond Platnumz huko Tandale thumbnail 1 summary
Hizi ni picha za Before na video inaonyesha After ya nyumba ya zamani ya familia ya Diamond Platnumz huko Tandale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Penzi la DIAMOND, ALI KIBA Lamtesa JOKATE KIDOTI! Stori Kamili Ipo Hapa...

Mlimbwende Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.  Siri imevuja kuwa penzi la vinara wawili wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond PlanumZ’ ... thumbnail 1 summary
Mlimbwende Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. 
Siri imevuja kuwa penzi la vinara wawili wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond PlanumZ’ na Ali Saleh Kiba ‘King’ linadaiwa kumtesa mlimbwende Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ambaye amekuwa akijutia kujiingiza kwenye uhusiano na wasanii hao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA Sepetu Huenda Akaponzwa na Video Inayosambaa Kwa Kasi Mtandaoni Ikimuonesha Akidendeka na Mwanaume!

Kipande cha video kilichosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook na WhatsApp kikimuonesha staa wa sinema za Kibongo, Wem... thumbnail 1 summary
Kipande cha video kilichosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook na WhatsApp kikimuonesha staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘akidendeka’ chumbani na mwanaume kimemuweka pabaya baada ya Katibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inataka Milioni 864 kwenye bajeti ijayo

May 16 2016 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2016/2017 pamoja na kuwasilis... thumbnail 1 summary
May 16 2016 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2016/2017 pamoja na kuwasilisha maombi ya fedha zaidi ya Milioni 864. Hotuba imesomwa na Waziri wake Charles Kitwanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mashabiki wa Jay Z wajipanga kuomba msamaha kwa Beyonce

Baada ya Jay Z kumsaliti Beyonce mashabiki wameandaa kampeni ya kumuombea msamaha. Ni baada ya albamu ya Beyonce ‘ Lemonade’ kuweka wazi ... thumbnail 1 summary
Baada ya Jay Z kumsaliti Beyonce mashabiki wameandaa kampeni ya kumuombea msamaha.
Ni baada ya albamu ya Beyonce ‘ Lemonade’ kuweka wazi kuwa Jay Z aliwahi kumsaliti na mwanamke aliyemtaja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIM KARDASHIAN:NIMEPUNGUZA UZITO FASTA KULIKO NILIPOJIFUNGUA MTOTO WA KWANZA.

Siyo watu wote wanapenda kuwa na mamba membamba,lakini pia siyo wote wanapenda kuwa vibonge. Kwa mtayarishaji wa vipindi halisi vya t... thumbnail 1 summary
Siyo watu wote wanapenda kuwa na mamba membamba,lakini pia siyo wote wanapenda kuwa vibonge.

Kwa mtayarishaji wa vipindi halisi vya televisheni na mwanamitindo,Kim Kardashian mambo ni tofauti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jaydee kutoa kauli yake leo baada ya kudai kudhalilishwa na Gardner

Siku 14 tangu Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner Habash kudaiwa kutoa lugha ya udhalilishaji dhidi ya aliyekuwa mke wake Judith Wambura, mwa... thumbnail 1 summary
Siku 14 tangu Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner Habash kudaiwa kutoa lugha ya udhalilishaji dhidi ya aliyekuwa mke wake Judith Wambura, mwanamuziki huyo maarufu kwa jina la Lady Jaydee,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROBERTO MANCINI AMCHANGANYA RAIS WA INTER MILAN

Rais wa klabu ya Inter Milan, Erick Thohir, yupo katika mazungumzo mazito na meneja wa klabu hiyo Roberto Mancini, yaliyolenga kumtaka as... thumbnail 1 summary
Rais wa klabu ya Inter Milan, Erick Thohir, yupo katika mazungumzo mazito na meneja wa klabu hiyo Roberto Mancini, yaliyolenga kumtaka asalie klabuni hapo na kuachana na ofa ya kutaka kukabidhiwa kikosi cha timu ya taifa ya Italia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwanini Nyimbo za ALI KIBA Huvuja Kabla ya Muda?

Imekuwa kawaida sana Ali kiba Kabla ya kutoa nyimbo zake huvuja mapema,Amepanga kuitoa Nyimbo yake mpya ya Aje kesho pamoja na video yake... thumbnail 1 summary
Imekuwa kawaida sana Ali kiba Kabla ya kutoa nyimbo zake huvuja mapema,Amepanga kuitoa Nyimbo yake mpya ya Aje kesho pamoja na video yake ikiianzia Mtv lakini bahati mbaya nyimbo tayari watu tunayo mda mrefu hata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Albamu ya Kendrick Lamar na J Cole bado ipo haijafutwa

Albamu ya pamoja kati ya Kendrick Lamar na J Cole ‘Joint’ ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu imesemekana kuwa itachelewa. Hapo m... thumbnail 1 summary
Albamu ya pamoja kati ya Kendrick Lamar na J Cole ‘Joint’ ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu imesemekana kuwa itachelewa.
Hapo mwanzo taarifa zilisambaa kuwa albamu hiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni kweli Harmonize amemrithi Diamond kwa Jacqueline Wolper?

Wanasema sharing is caring. Ndiyo maana Harmonize haoni hatari kuweka kambi kwenye koloni la zamani la bosi wake, Diamond. Inaonekana s... thumbnail 1 summary
Wanasema sharing is caring. Ndiyo maana Harmonize haoni hatari kuweka kambi kwenye koloni la zamani la bosi wake, Diamond.
Inaonekana si tetesi tena kwasababu CEO wa WCB mwenyewe ametoa baraka zake kwa wawili hao, Harmonize

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchezo wa Manchester United dhidi Bournemouth umesogezwa mbele kwa sababu za kiusalama

Mechi ya mwisho ya Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Manchester United na Bournemouth umehairishwa kufuatia kubainika kwa kifurushi kinachoti... thumbnail 1 summary
Mechi ya mwisho ya Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Manchester United na Bournemouth umehairishwa kufuatia kubainika kwa kifurushi kinachotiliwa shaka katika dimba la Old Trafford.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meli ya Russia yazuiliwa Korea Kaskazini

Mashua kutoka Urusi imezuiliwa na walinzi wa pwani wa Korea Kaskazini, katika Bahari ya Japan, ikiwa na watu watano. thumbnail 1 summary
Mashua kutoka Urusi imezuiliwa na walinzi wa pwani wa Korea Kaskazini, katika Bahari ya Japan, ikiwa na watu watano.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Keyshia Cole akutana na baba yake mzazi, baada ya kupotezana kwa miaka 34!

Virgil Hunter, baba mzazi wa Keyshia Cole Muimbaji huyo wa R&B aliyeasiliwa na marafiki wa familia yao, Leon na Yvonne Cole akiwa n... thumbnail 1 summary
Virgil Hunter, baba mzazi wa Keyshia Cole
Muimbaji huyo wa R&B aliyeasiliwa na marafiki wa familia yao, Leon na Yvonne Cole akiwa na umri wa miaka miwili tu, amekutana na baba yake huyo baada ya miaka 34.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 16, 2016 kwenye, Hardnews na michezo

May 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
May 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: