January 28, 2014
NAMNA YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE YULE
NAMNA YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE YULE
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sana... 15:41
Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.
Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.
Sio Kweli !!!
Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5. Au wengine wanatoboka sana mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo. Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo bure, tena bila kunawa!
Je Unajua Njia Sahihi za Ku-handle Vikwazo vya Wanawake?
Wanawake ni watu wa vikwazo. Wenyewe wanasema wanaweka vikwazo ili kukupima kama una "mapenzi ya kweli". Unachotaka wewe ni kimoja. Kula mzigo. Maana inabidi ule mzigo kwanza, ndo ujue kama uendeleze mapenzi yawe ya kweli ... au upotezee. Au sio mzee?
Ila yeye atakuwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:
- Niko kwenye period
- Nina boyfriend / mume / mchumba
- Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
- Mama yangu mgonjwa
- Niko bize na kazi
- Nimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!
- Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
- Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
- Mi bado mdogo
- Sitaki!!
- Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
- Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/n.k.)
- Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
- Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
- na kadhalika
Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?
Utajisikiaje nikikwambia kuwa vikwazo vya dizaini hiyo vingi ni geresha tu ... sio vikwazo kwa maana ya vikwazo bali ni fursa nzuri kwako kupata unachotaka?
Na bomba zaidi je unajua mbinu za kutumia ili kumfanya mwanamke asikupe kabisa vikwazo kama hivyo? Ukimtongoza mwanamke vibaya atakuwekea vikwazo vingi na hata kama utampata atakuwa ashakuzungusha sana na kukupotezea muda na pesa. Ukiwa na mbinu za kuzuia vikwazo maisha yako yatakuwa rahisi zaidi.
Sasa Mpango Mzima Uko Namna Hii...
Tuna wataalam wa kutongoza. Hao jamaa ni noma, we mwenyewe ukiwasikia sound zao, na ukiona swaga zao utawakubali.
Na uzuri zaidi sio sound na swaga tu, bali wanakula kweli mizigo fasta tena bure bure. Sio watu wa maneno miiiingi na resi kibao halafu mwisho wa siku wakaishia kunawa. La hasha, wanasoundisha na wanakula mzigo.
Kila wiki tunarekodi na kurusha kupitia email (au CD) "episode" kadhaa ambapo wataalam wanatokea mademu kwenye mazingira mbali mbali. Njiani, barabarani, vyuoni, kazini, stendi za daladala, kwenye daladala, club, beach, n.k.
Ukisikiliza hizi "episode" utapata darasa kamili la ujanja wa kumtongoza mwanamke yoyote yule, mahali popote.
Si rahisi kukupa picha kamili kwa maneno tu, inabidi ujiunge nasi uanze darasa ndipo utajionea mwenyewe.
Kwenye "episode" zetu utasikia staili mbali mbali za kutongoza, kama vile:
- Tongoza ya kistaarabu (kiupole)
- Tongoza ya ki-gangsta (yaani kigumu gumu)
- Tongoza ya ki-mafia (yaani no kubembeleza)
- Tongoza ya kizungu
- Tongoza ya kihindi
- Tongoza ya kiarabu
- Tongoza ya kimya kimya
- Tongoza ya mchanganyiko wa aina mbali mbali hapo juu
Kila tongoza ina mahali pake, utasikia na maelekezo ya ziada kuwa tongoza ipi itumike wapi ... ukichanganya umeharibu!
Na Si Hayo Tu...
Kwenye "episode" za kila wiki utapata sio tu kusikiliza laivu wanawake mbali mbali wanavyotongozwa mpaka kitandani, bali utapata na "track" za ziada ambapo mtaalam husika anaelezea na kufafanua kile alichokuwa anafanya na mahesabu aliyokuwa anapiga kichwani mwake wakati anamtongoza huyo mwanamke.
Kutongoza kunahitaji maandalizi makubwa nyuma ya pazia ... maandalizi ya kiakili, kimuonekano, kusoma mazingira, na kumsoma mwanamke.
Kwa hiyo utapata na maelezo ya ziada kwa nini mwanamke fulani katongozwa kwa staili fulani badala ya staili fulani. Hii itakusaidia kukujenga ndani na nje ili uwe "striker" hatari kuliko Emmanuel Okwi.
Tusiandikie Mate...
Kukupa mfano wa "episode" zetu sikiliza hii ya Hidaya. Hidaya tulikutana naye mitaa ya Kinondoni mida ya jioni jioni akiwa na haraka anakwenda Ilala.
Mtaalam mmoja akamtokea, sikiliza mwanzoni alivyokuwa anajifanya yeye mgumu ... halafu mwishoni mwenyewe akalainika na kukubali kwenda na "Mtaalam"
Hidaya aligongwa usiku huo huo kwenye getto la Mtaalam, halafu akasindikizwa tu kituoni aendelee na safari yake. Hakupewa hata shilingi ... bali maneno matamu matamu tu.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KIGOGO WA WEMA NOMA SANA!!! AHAMIA KWA RAFIKI WA KARIBU WA WEMA
KIGOGO WA WEMA NOMA SANA!!! AHAMIA KWA RAFIKI WA KARIBU WA WEMA
NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule ... 12:14NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa ikulu,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
"BOYFRIEND WANGU NIMPENDAE KWA DHATI AMEFUKUZWA KAZI NA SIONI SABABU YA KUOLEWA NAE TENA"
"BOYFRIEND WANGU NIMPENDAE KWA DHATI AMEFUKUZWA KAZI NA SIONI SABABU YA KUOLEWA NAE TENA"
“Mimi ni msichana wa miaka 23, Naishi Tabora nchini Tanzania nimejitokeza kwenu kushare tatizo 12:08SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MCHUMBA WA MTU ANASWA LIVE AKIFANYA NIASHARA YA NGONO, ALIAGA ANAENDA KUMSALIMIA BIBI.
MCHUMBA WA MTU ANASWA LIVE AKIFANYA NIASHARA YA NGONO, ALIAGA ANAENDA KUMSALIMIA BIBI.
Za mwizi 40: Mchumba wa mtu baada ya kunaswa na OFM akijiuza licha ya kuaga kuwa anakwenda kwa bibi yake. Tukio hilo lilijiri eneo ma... 12:06SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PENNY: DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE
PENNY: DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul 12:05MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
CHOO CHA DHAHABU CHA BIRDMAN KINAGHARIMU $1 MILx
CHOO CHA DHAHABU CHA BIRDMAN KINAGHARIMU $1 MILx
Birdman boss wa record label ya YMCMB ambaye mara nyingi huwa anajisifia kwa matumizi yake makubwa ya pesa kwenye vitu luxury, ameend... 12:01SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NYOKA AINA YA COBRA ASABABISHA SAFARI YA NDEGE KUSITISHWA
NYOKA AINA YA COBRA ASABABISHA SAFARI YA NDEGE KUSITISHWA
NYOKA aina ya Cobra amesababisha kizaza kwenye ndege na kuilazimisha kukatisha safari yake na kutua kwa dharura katika uwanja 11:54SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
AINA MPYA YA MAVAZI KWA WAKINADADA .... NI NOMAAA
AINA MPYA YA MAVAZI KWA WAKINADADA .... NI NOMAAA
Mwaka mpya na mambo mapya hii ni sidilia ambayo haina mikanda imetengezwa kwa ubunifu mkubwa ili kuondoa ule usumbufu 11:53SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BONGE LA NYAU AMEIKANA ACCOUNT YA INSTAGRAM INAYOCHONGANISHA BEEF KATI YA DIAMOND NA ALI KIBA
BONGE LA NYAU AMEIKANA ACCOUNT YA INSTAGRAM INAYOCHONGANISHA BEEF KATI YA DIAMOND NA ALI KIBA
Jumapili ya jana ilikua jumapili mbaya sana kwa msanii Diamond kwani ni kama vile karibu watu wote waliojiunga instagram 11:39
Jumapili ya jana ilikua jumapili mbaya sana kwa msanii Diamond kwani ni kama vile karibu watu wote waliojiunga instagram
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PROF LIPUMBA AKOSOA UTEUZI WA WAZIRI WA FEDHA SAADA SALUMU
PROF LIPUMBA AKOSOA UTEUZI WA WAZIRI WA FEDHA SAADA SALUMU
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amelishushia tuhuma nzito Baraza la Mawaziri, baada 11:38SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
GADDAFI ALIKUWA NA CHUMBA MAALUM CHA WAFUNGWA WA NGONO
GADDAFI ALIKUWA NA CHUMBA MAALUM CHA WAFUNGWA WA NGONO
Kanali Gaddafi alikuwa na vyumba maalum kwa wafungwa wa ngono kwenye majumba yake 11:37SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WADAU WAPONDA DIAMOND PLATNUM KUONEKANA NA MAMA YAKE KILA MAHALI ANAKOKWENDA
WADAU WAPONDA DIAMOND PLATNUM KUONEKANA NA MAMA YAKE KILA MAHALI ANAKOKWENDA
Nasibu Abdul Almaarufu kama Diamond Plutnum ni kati ya wasanii hapa nchini ambao wamekuwa wakionyesha upendo wao wa dhati kwa 09:25SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ZITTO NDANI YA KASHFA NZITO YA KUTOKA KIMAPENZI NA MBUNGE MWENZAKE
ZITTO NDANI YA KASHFA NZITO YA KUTOKA KIMAPENZI NA MBUNGE MWENZAKE
KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna 09:11
KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NOMA SAANA: HOUSEGIRL WA KIGOGO BENKI KUU APIGA PICHA ZA UTATA
NOMA SAANA: HOUSEGIRL WA KIGOGO BENKI KUU APIGA PICHA ZA UTATA
Na Mwandishi wa Xdeejayz Msanii wa bongo Move ambae ni mtoto wa kalani wa bank kuu aliyefahamika kwa jina la Nance Njozy ameac... 09:09
Na Mwandishi wa Xdeejayz Msanii wa bongo Move ambae ni mtoto wa kalani wa bank kuu aliyefahamika kwa jina la Nance Njozy ameachia
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NOMA SAAANA: MTOTO WA "USTAADH" ATUPIA PICHA ZA UCHI MTANDAONI
NOMA SAAANA: MTOTO WA "USTAADH" ATUPIA PICHA ZA UCHI MTANDAONI
Msichana ambae inadaiwa ni mtoto Ustaadh mmoja maarufu huko Kigogo Luhanga kiwa kwenye picha ya utupu. 09:08
Msichana ambae inadaiwa ni mtoto Ustaadh mmoja maarufu huko Kigogo Luhanga kiwa kwenye picha ya utupu.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND AKIPOKELEWA NA MAMA YAKE TOKA SAFARINI NAIROBI ALIKOKUA ANAPIGA SHOW..
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
RIHANNA AISHIWI VITUKO NDANI YA KIVAZI CHA UTUPU
RIHANNA AISHIWI VITUKO NDANI YA KIVAZI CHA UTUPU
Rihanna and her best friend Melissa Ford looked smoking hot in a series of racy photos they took in Brazil yesterday and shared... 09:04
Rihanna and her best friend Melissa Ford looked smoking hot in a series of racy photos they took in Brazil yesterday and shared on instagram. The photos show
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
SHIJA MSANII WA BONGO MOVIE ATONGOZWA NA SHOGA
SHIJA MSANII WA BONGO MOVIE ATONGOZWA NA SHOGA
MSANII wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya kutongozwa na shoga. 09:03SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ROSE NDAUKA AONYESHA PICHA YA MTOTO WAKE ANAITWA "NAVEEN"
ROSE NDAUKA AONYESHA PICHA YA MTOTO WAKE ANAITWA "NAVEEN"
ROSE Ndauka ambaye ni mama anayetamba kwenye filamu za Bongo,Hapa Tanzania hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na... 09:02SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MWANDISHI ANNE WAITHERA WA BBC AFARIKI DUNIA
MWANDISHI ANNE WAITHERA WA BBC AFARIKI DUNIA
Mwandishi Anne Waithera enzi za uhai wake. MWANDISHI wa BBC kutoka nchini Kenya, Anne Waithera amefariki dunia baada ya kuugua k... 08:59SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MWINJILISTI ALIVYOMCHINJA MKE, NAYE KUJINYONGA
MWINJILISTI ALIVYOMCHINJA MKE, NAYE KUJINYONGA
Stori: Gladness Mallya na Imelda Mtema, Bagamoyo YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilaya... 08:58
Stori: Gladness Mallya na Imelda Mtema, Bagamoyo
YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe
YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO
FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO
Stori: Jelard Lucas ULE uvumi kwamba baadhi ya wachungaji na maaskofu wa makanisa ya kiroho nchini wanajihusisha na imani ya Free... 08:57SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA NDANI YA IRINGA
M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA NDANI YA IRINGA
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Iringa... 08:55SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)