Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa.
December 19, 2015
Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…
Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…
Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida d... 05:36
Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida duniani kote. Najua weekend inaweza ikaboa kama utakosa mahala pazuri pakwenda kuenjoy
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Utani wa mashabiki baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Chelsea…(Video)
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa…
Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa…
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines... 05:35
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno.
Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambaye ametajwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam... 05:31SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND AWAKERA BAADHI YA MASHABIKI KWA VIDEO HII YENYE UJUMBE WA UTATA
DIAMOND AWAKERA BAADHI YA MASHABIKI KWA VIDEO HII YENYE UJUMBE WA UTATA
Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Ug... 05:31
Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ZIARA YA LOWASSA NCHI NZIMA YAOTA MBAWA GHAFLA..CHADEMA WATOA UFAFANUZI
ZIARA YA LOWASSA NCHI NZIMA YAOTA MBAWA GHAFLA..CHADEMA WATOA UFAFANUZI
Siku moja baada ya kuahirishwa ziara ya aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, chama ... 05:30SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TAZAMA PICHA ZIKIONYESHA UNYAMA UNAOFANYIKA NCHINI BURUNDI,WATU WANAUWANA KAMA WANYAMA VILE
TAZAMA PICHA ZIKIONYESHA UNYAMA UNAOFANYIKA NCHINI BURUNDI,WATU WANAUWANA KAMA WANYAMA VILE
Umoja wa Afrika(AU) umeahidi kuhakikisha mauaji ya kimbari hayatokei Burundi. Wasema kuna uwezekano wa vita ya wenyewe kwa wenyewe. 05:29SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAGUFULI AIPONGEZA TRA KWA KUKUSANYA TRILIONI 1.3 NDANI YA MWEZI MMOJA
MAGUFULI AIPONGEZA TRA KWA KUKUSANYA TRILIONI 1.3 NDANI YA MWEZI MMOJA
Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato i... 05:29
Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND NA KAJALA NDANI YA SKENDO NZITO, YADAIWA WANATOKA KIMAPENZI,PICHA HIZI HAPA
DIAMOND NA KAJALA NDANI YA SKENDO NZITO, YADAIWA WANATOKA KIMAPENZI,PICHA HIZI HAPA
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigiz... 05:28
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NILIBAKWA NA MAJAMBAZI WALIOTUVAMIA NYUMBANI USIKU ....NIMEPATA UJAUZITO MSAADA TAFADHALI
NILIBAKWA NA MAJAMBAZI WALIOTUVAMIA NYUMBANI USIKU ....NIMEPATA UJAUZITO MSAADA TAFADHALI
Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ni... 05:27
Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ninaujauzito na siko tayari kuzaa na mtu nisiye mjua.iko hivi, ni mwezi sasa umepita
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)