December 19, 2015

DIAMOND AWAKERA BAADHI YA MASHABIKI KWA VIDEO HII YENYE UJUMBE WA UTATA

Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Ug... thumbnail 1 summary

Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?

Yes, kitakachotokea ni kile mtu na mpenzi wake wakikutana kitandani hufanya – they make love!

Lakini Diamond amewakera baadhi ya mashabiki wake baada ya kupost video hiyo juu na kuandika: Jus love my Uganda’s Room….Can’t wait for the Dirty game with mama tee here lol!

Tembelea kwenye ukurasa wake wa Instagram ujisomee comments za kukinzana!Diamond Awakera Baadhi ya Mashabiki kwa Video Hii Yenye Ujumbe wa Utata!
Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?

Yes, kitakachotokea ni kile mtu na mpenzi wake wakikutana kitandani hufanya – they make love!

Lakini Diamond amewakera baadhi ya mashabiki wake baada ya kupost video hiyo juu na kuandika: Jus love my Uganda’s Room….Can’t wait for the Dirty game with mama tee here lol!

Tembelea kwenye ukurasa wake wa Instagram ujisomee comments za kukinzana!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: