Katika hali ya kushangaza msichana mmoja anaejiita Seche Mautamu ambae anajiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa k...
19:17
Katika hali ya kushangaza msichana mmoja anaejiita Seche Mautamu
ambae anajiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha
zake za utupu. Zifuatazo ni picha zake hizo na baada ya hizo picha
utakuta link ya PROFILE yake ya facebook.
Mwanaume mmoja jina "tumeliweka kapuni" amekuwa na tabia chafu ya kuwafanyisha mapenzi wanawake mithili ya wanyam...
19:16
Mwanaume mmoja jina "tumeliweka kapuni" amekuwa na
tabia chafu ya kuwafanyisha mapenzi wanawake mithili ya
wanyama ndani ya jumba lake la kifahari.......Chanzo
chetu cha habari kimedai kuwa, nyumba hiyo ya kifahari ipo maeneo
KUNA mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe...
17:16
KUNA
mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana
lakini kumbe yana uzito na thamani kubwa sana kwenye uhusiano. Wengi
wakitaka kufanya jambo la kumfurahisha mpenzi wake, huwaza katika
ukubwa.Wapo
wanaofikiri labda kwa kutoka na mwezi wake kwenda naye kwenye hoteli
Jack akiwa chini ya ulinzi baada ya kunaswa na dawa za kulevya China. Na Mwandishi Wetu BADO habari ya mjini ni skendo ya ...
12:26
Jack akiwa chini ya ulinzi baada ya kunaswa na dawa za kulevya China. Na Mwandishi Wetu BADO habari ya mjini ni skendo
ya kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’ inayomtafuna Video Queen wa
Bongo, Jacqueline Clifford Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ ambaye inadaiwa
kuwa mtandao wake wa biashara hiyo ni wa kutisha, Ijumaa limetonywa.
Rose Ndauka. STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii kat...
12:25
Rose Ndauka.
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia
ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
iliyopo jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana
Mungu
KATIKA staili ya aina yake ya kuuaga mwaka na kuukaribisha 2014, mtan...
12:23
KATIKA
staili ya aina yake ya kuuaga mwaka na kuukaribisha 2014, mtangazaji
Peniela Mungilwa ‘Penny’, ambaye ni zilipendwa wa Nasib Abdul ‘Diamond’
alipewa zawadi ikiwemo keki yenye maandishi ya kumsuta.
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000. G...
12:15
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000.
Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu, alisema jana kuwa sarafu hiyo
iliyotengenezwa kwa madini ya fedha kwa asilimia 92.50, imetolewa kwa
ajili
Stori: Shakoor Jongo MWAKA ulianza vibaya kwa mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana mara moja kumkimbia mumewe na kumfuata m...
12:14
Stori: Shakoor Jongo MWAKA
ulianza vibaya kwa mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana mara moja
kumkimbia mumewe na kumfuata mume wa msanii wa filamu, Ndumbangwe
Misayo ‘Thea’ aitwaye Michael Sangu ‘Mike’ jambo lililosababisha ale
kichapo cha nguvu na kuuanza mwaka mpya vibaya.
Kipa wa Yanga, Juma Kaseja. MABADILIKO yanaendelea kutokea ndani ya kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga...
12:13
Kipa wa Yanga, Juma Kaseja.
MABADILIKO
yanaendelea kutokea ndani ya kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania,
Yanga kwani tayari imepata kocha mpya wa makipa ambaye hata kabla ya
kuanza kazi, ametangaza kumfuta kipa Juma Kaseja kama kipa namba moja.
Taarifa ambazo zilizotufikia hivi punde ni kuwa Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha Kamati Kuu kesho.Wan...
07:27
Taarifa ambazo zilizotufikia hivi
punde ni kuwa Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha
Kamati Kuu kesho.Wanasheria wa Chama wakiongozwa na Tundu Lissu wanaenda
Mahakamani
kusikiliza pingamizi hilo ambalo litakuwa limeenda kwa hati ya dharura.
Jacob Steven ‘JB’. JAZBA baab’kubwa imeibuka katika mkutano wa wasan...
07:24
Jacob Steven ‘JB’.
JAZBA
baab’kubwa imeibuka katika mkutano wa wasanii wa filamu za Bongo ‘Bongo
Movies’ na Bongo Fleva ulioandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
kwa kushirikiana na chombo cha kusimamia haki za wasanii nchini,
Cosota.Tukio hilo
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliy...
07:23
MBUNGE
wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema
kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu
wao, Kabwe Zitto.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za ku...
07:21
Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa Waziri
Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za kuelekea uchaguzi
mkuu wa mwaka 2015.
Kimesema wanaombeza kwa madai kwamba rushwa anayoipigia kelele iliasisiwa wakati akiwa madarakani, hawalitakii mema taifa.
Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangam...
07:19
Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila
aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye
maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya
kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu
yake.
Elizabeth Michael ‘Lulu’. STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati mgumu kumpanga mwi...
07:14
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati
mgumu kumpanga mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye filamu yake
ambayo walipaswa kucheza kama wapenzi kwa kuhofia kumbusu.
Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa...
07:11
Rehema
Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana
hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya
kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana, 2013.Awali
Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na