Klabu ya Crystal Palace ambayo inashriki ligi kuu ya Uingereza, hatimaye imemtangaza Sam Allardyce kuwa kocha mpya wa klabu hiyo baada ya kumfuta kazi kocha Alan Pardew wakati ambapo klabu hiyo iko katika nafasi ya 17 katika ligi hiyo.
December 24, 2016
CAF yatangaza majina 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
CAF yatangaza majina 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limetangaza majina ya wachezaji watatu ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa ... 12:13
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limetangaza majina ya wachezaji watatu ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka huu.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Papa Misifa adai hatamsahau Rich Mavoko mpaka anaingia kaburini!
Papa Misifa adai hatamsahau Rich Mavoko mpaka anaingia kaburini!
Aliyewahi kuwa meneja wa zamani wa Rich Mavoko, Papa Misifa amefuguka kwa kudai kuwa Rich Mavoko ni msanii ambaye hatakuja kumsahau m... 12:11
Aliyewahi kuwa meneja wa zamani wa Rich Mavoko, Papa Misifa amefuguka kwa kudai kuwa Rich Mavoko ni msanii ambaye hatakuja kumsahau mpaka anaingia karibuni kutokana na mambo aliyotendewa na msanii huyo.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Salome na Pana zaongoza orodha ya nyimbo kubwa 10 za mwaka kwa mujibu wa tovuti ya The Gurdian ya UK
Salome na Pana zaongoza orodha ya nyimbo kubwa 10 za mwaka kwa mujibu wa tovuti ya The Gurdian ya UK
Gazeti maarufu la Uingereza, The Guardian kupitia tovuti yake, limetoa orodha ya nyimbo 10 zilizokuwa kubwa Afrika mwaka 2016. Kwenye o... 12:07
Gazeti maarufu la Uingereza, The Guardian kupitia tovuti yake, limetoa orodha ya nyimbo 10 zilizokuwa kubwa Afrika mwaka 2016. Kwenye orodha hiyo, Diamond
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Kuanzia 2017 Ben Pol adai atatoza shilingi milioni 10 kwa collabo
Kuanzia 2017 Ben Pol adai atatoza shilingi milioni 10 kwa collabo
Unataka kufanya collabo na Ben Pol? Muwahi sasa kabla ya Disemba 31, sababu mwaka 2017, mambo yanakwenda kubadilika. Ben Pol am... 12:03
Unataka kufanya collabo na Ben Pol? Muwahi sasa kabla ya Disemba 31, sababu mwaka 2017, mambo yanakwenda kubadilika.
Ben Pol amesema kuanzia mwakani atakuwa akitoa dola 5,000 kwa kila kolabo ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 10 za Kitanzania.
“Kuelekea 2017 bei yangu ya Collabo itakuwa $5000. So kama una project na mimi tuwasiliane before 31st Dec 2016,” aliandika Ben kwenye Twitter.
“Ni kweli, ila kama wimbo ni mkali tunaweza kukaa mezani na huyo mtu akanipa sehemu ya umiliki wa hiyo kazi,” Ben ameiambia Bongo5 baada ya kumuuliza kama amedhamiria kweli.
“Kwanza nataka kupunguza idadi ya colabo ili nifanye chache za walio serious na wanaoweza kupush hizo project. Mfano mtu hawezi kukulipa dola elfu 5 halafu akaiweka ngoma kwenye album, au akaiweka ndani tu,” amesisitiza.
“Pia itasaidia kwangu kufikiria zaidi kwenye hiyo kazi, hakuna mtu atakulipa dola 5 halafu akatarajia disappointment, so ita-benefit kwa pande zote.”
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Ibrahim Ajibu atimkia Misri kuanza maisha mpya ya soka
Ibrahim Ajibu atimkia Misri kuanza maisha mpya ya soka
Mshambuliaji fundi wa klabu ya wenkundu wa Msimbazi Simba SC inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara, Ibrahim Ajibu, ameondoka klabuni ha... 11:58
Mshambuliaji fundi wa klabu ya wenkundu wa Msimbazi Simba SC inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara, Ibrahim Ajibu, ameondoka klabuni hapo na kutimkia nchini Msri kwa ajili ya majaribio ya kucheza soka la kulipwa.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Video: Mo J adai Gigy ni mwanamke mwenye heshima sana tofauti na watu wanavyodhani – Part 3
Video: Mo J adai Gigy ni mwanamke mwenye heshima sana tofauti na watu wanavyodhani – Part 3
Hii ni sehemu ya tatu ya interview ya Bongo5 TV na Gigy Money pamoja na mpenzi wake Mo J ambapo katika sehemu hii Mo J anaeleza sif... 09:56SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Diafra Sakho kukosa michuano ya mataifa bingwa barani Afrika
Diafra Sakho kukosa michuano ya mataifa bingwa barani Afrika
Mchezaji wa klabu ya West Ham na timu ya taifa ya Senegal, Diafra Sakho hatacheza katika mechi ya kuwania kombe la mataifa bingwa bar... 09:51
Mchezaji wa klabu ya West Ham na timu ya taifa ya Senegal, Diafra Sakho hatacheza katika mechi ya kuwania kombe la mataifa bingwa barani Afrika baada ya kuripotiwa kuwa hatacheza kwa kipindi cha wiki nane zaidi kutokana na jeraha.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
‘Hola Hola’ haijaharibu mipango yangu – Chemical
‘Hola Hola’ haijaharibu mipango yangu – Chemical
Rapper wa kike Bongo mwenye mistari na swaga za hatari, Chemical amedai kuwa project ya ‘Hola Hola’ haijaharibu mipango yake ya kufan... 09:49
Rapper wa kike Bongo mwenye mistari na swaga za hatari, Chemical amedai kuwa project ya ‘Hola Hola’ haijaharibu mipango yake ya kufanya collabo na rapper mwingine wa kike.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)