May 14, 2014
Loveness Diva kufanya Video ya ‘Mashallah’ na Director wa Kenya
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NJEMBA ANASWA NA DENTI WA KIUME GESTI
NJEMBA ANASWA NA DENTI WA KIUME GESTI
ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika... 11:06SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO
WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngec... 11:04SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TABIA YA LULU YAWA KERO BONGO MUVI
TABIA YA LULU YAWA KERO BONGO MUVI
kwa kuwa ipo siku naye yatamfika. Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwen... 11:03
kwa kuwa ipo siku naye yatamfika.Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Tazama Picha 5 za Utani Uliosambazwa Baada ya Solange Kumpiga ‘Shemeji’ Jay Z
Tazama Picha 5 za Utani Uliosambazwa Baada ya Solange Kumpiga ‘Shemeji’ Jay Z
Baada ya kuvuja kwa video ikionyesha jinsi rapper Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift huku Beyonce mwenyewe akiwa... 07:47SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
HII NDIYO HABARI YA MJINI LISTEN A GOOD MUSIC "SITAKI KAZI" KUTOKA KWA NIKKI WA PILI ft GNAKO & BEN POL HAPA HAPA
HII NDIYO HABARI YA MJINI LISTEN A GOOD MUSIC "SITAKI KAZI" KUTOKA KWA NIKKI WA PILI ft GNAKO & BEN POL HAPA HAPA
Sikiliza hapa ngoma Mpya kutoka kwa Nikki wa Pili akiwashirikisha G Nako na Ben Pol ngoma inaitwa “Sitaki Kazi” Sikiliza Ama Downlo... 07:40SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MMMH!! ONA KAMERA YA SUPERMARKET ILIVYOMNASA DADA HUYU.,.. ALIVYOVAA NI AIBU JAMANI. ONA HAPA
MMMH!! ONA KAMERA YA SUPERMARKET ILIVYOMNASA DADA HUYU.,.. ALIVYOVAA NI AIBU JAMANI. ONA HAPA
PHOTOS: Nairobian Lady Pictured At A Shopping Mall Dressed In A CRAZY S3x Calling Outfit 07:39SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND PLATNUMZ ATUA UINGEREZA KUSHOOT VIDEO MPYA, AONGOZANA NA OMMY DIMPOZ! PICHA ZIPO HAPA
DIAMOND PLATNUMZ ATUA UINGEREZA KUSHOOT VIDEO MPYA, AONGOZANA NA OMMY DIMPOZ! PICHA ZIPO HAPA
Mshindi wa tuzo saba za KTMA 2014 Nasib Abdul aka Diamond Platnumz aka ‘Chibu’ na Ommy Dimpoz wameondoka Tanzania 07:39SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
VANESSA MDEE, BARNABA NA NAY WA MITEGO WALA SHAVU LA MATANGAZO YA MTANDAO WA SIMU, TAZAMA PICHA HAPA
VANESSA MDEE, BARNABA NA NAY WA MITEGO WALA SHAVU LA MATANGAZO YA MTANDAO WA SIMU, TAZAMA PICHA HAPA
Mwishoni mwa mwezi uliopita, Vanessa Mdee, Barnaba na Nay wa Mitego walienda jijini Bangkok, Thailand ambako imebainika walienda kush... 07:38SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DHARAU ZINGINE HUWA HAZINA FAIDA..ONA HUYU DADA ALIVYOADHIRIKA
DHARAU ZINGINE HUWA HAZINA FAIDA..ONA HUYU DADA ALIVYOADHIRIKA
Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal.... Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagar... 07:37SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Exclusive: JB,Irene Uwoya,MzeeMajuto na Ray kesho kwendaUturuki kikazi
Exclusive: JB,Irene Uwoya,MzeeMajuto na Ray kesho kwendaUturuki kikazi
Wasanii wa filamu Jacob Stephan aka JB ,King Mjuto, Vicent Kigosi aka Ray na mwanadada Irene Uwoya wanatarajia kuondoka usiku wa kuam... 07:35SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
HIVI NDIVYO SIASA ILIVYOUA NDOTO KUBWA ZA MSANII MARLAW
HIVI NDIVYO SIASA ILIVYOUA NDOTO KUBWA ZA MSANII MARLAW
Akiwa kijana mdogo ambae alianzia shughuli zake za mziki mji mdogo 07:33Akiwa kijana mdogo ambae alianzia shughuli zake za mziki mji mdogo
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BAADA YA TAARIFA KUENEA KUWA STAA WA FILAMU ZAKIBONGO :WEMA SEPETUANAUMWA.....HIVI NDIVYO ALIVYOFUNGUKA KINACHOMSUMBUA
BAADA YA TAARIFA KUENEA KUWA STAA WA FILAMU ZAKIBONGO :WEMA SEPETUANAUMWA.....HIVI NDIVYO ALIVYOFUNGUKA KINACHOMSUMBUA
Wiki hii haikuwa poa kwa mastaa wa Bongo ambapo alianza msanii Shaa kupigwa na malaria siku ya tuzo za Killi zilizofanyika katika ukum... 07:32SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
SHILOLE AWAFUNGUKIA WALEWANAOKOSOA UHUSIANO WAKE NA MPENZI WAKE NUHU MZUWANDA
SHILOLE AWAFUNGUKIA WALEWANAOKOSOA UHUSIANO WAKE NA MPENZI WAKE NUHU MZUWANDA
STAA wa muziki wa mduara Zuwena Mohamed’ Shilole’ amewafungukia wale watu 07:31SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
HII NDIO ORODHA YA WASANII WA KILI MUSICTOUR 2014 ILOYOTAJWA...TWEET HII YA JAYDEE YAMPONZA, AACHWA MWAKA HUU
HII NDIO ORODHA YA WASANII WA KILI MUSICTOUR 2014 ILOYOTAJWA...TWEET HII YA JAYDEE YAMPONZA, AACHWA MWAKA HUU
Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Baadhi ya wasanii watakaokuwepo kwenye ziara hiyo wakiwe... 07:31SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
HUYU NDO MSANII WA BONGO STAR SEARCH ALIYEJITOKEZA NA KUSEMA DIAMOND KAIBA WIMBO WAKE WA KITORONDO, SOMA MKASA MZIMA HAPA
HUYU NDO MSANII WA BONGO STAR SEARCH ALIYEJITOKEZA NA KUSEMA DIAMOND KAIBA WIMBO WAKE WA KITORONDO, SOMA MKASA MZIMA HAPA
INASEMEKANA Diamond Kamwibia Wababa Mtuka Baadhi Ya Mashairi PamoJa na Idea Mzima ya Nyimbo Yake Ya KITORONDO 07:30SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WOLPER AFURUMUSHA TUSI INSTAGRAM KISA UGONJWA WA DENGUE! KAFANANISHA UMAARUFU WAKE NA DIAMOND!
WOLPER AFURUMUSHA TUSI INSTAGRAM KISA UGONJWA WA DENGUE! KAFANANISHA UMAARUFU WAKE NA DIAMOND!
Ugonjwa wa Dengue unaanza kuwa Tishio miongoni mwa wakazi wa jii la Dar-es-salaam, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari vimekuwa... 07:29SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PICHA: MADEE AKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YAKE YENYE THAMANI YA ZAIDI YA MILL 100,AJIPANGA KUACHIA WIMBO MPYA
PICHA: MADEE AKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YAKE YENYE THAMANI YA ZAIDI YA MILL 100,AJIPANGA KUACHIA WIMBO MPYA
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa... 07:27
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MWANAMKE MWENYE NDEVU ATANGAZWA KUWA MSHINDI...
MWANAMKE MWENYE NDEVU ATANGAZWA KUWA MSHINDI...
Mwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashinda... 07:26SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DAVIDO AIINGIA MATATANI KWA HIKI KITENDO ALICHOKIFANYA
DAVIDO AIINGIA MATATANI KWA HIKI KITENDO ALICHOKIFANYA
Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido na yeye anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).La... 07:25
Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido na yeye anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).Labda tatizo linalomkuta Davido ndilo lile lile kama kwa Chris Brown na Justin Bieber, kuwa na pesa nyingi na umaarufu akiwa na umri mdogo.
Akiwa kwenye harakati zake za kwenda kwenye show uingereza Davido alifika airport na passport yake ya Marekani.Maafisa wakamwambia alete passport ya Nigeria kwasababu passport hiyo ya Marekani haikuwa na karatasi za visa ya kuingia Nigeria kwa hiyo utaratibu haujafuatwa.
Davido alisisitiza kwamba anayo passport ya Nigeria lakini ameiacha nyumbani. Hakuruhusiwa kusafiri hadi hiyo passport ya Nigeria ilivyoletwa na akaruhusiwa kusafiri. Baada ya hapo ali-tweet akiwatusi maafisa wa hapo airport kwa kile kilichotokea.
Ofisi ya maafisa wa uhamiaji wamesema tabia kama hiyo ya bwana Davido Adeleke sio sawa kabisa kwasababu afisa huyo alifata utaratibu wa kazi ambao umesaidia Davido. Huko mbele ya safari angeweza kurudishwa au kuaibika zaidi kwani kwenye airport nyingine ambapo utaratibu unafatwa kwa hali ya juu wasingemruhusu kuendelea na safari.

DAKTARI MWANZA AFIA GESTI JIJINI DAR
DAKTARI MWANZA AFIA GESTI JIJINI DAR
MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wa... 07:24SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MATUKIO KATIKA PICHA:KANISA KATOLIKI LAFUNGISHA NDOA YA AJABU
MATUKIO KATIKA PICHA:KANISA KATOLIKI LAFUNGISHA NDOA YA AJABU
KANISA la Romani Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Morogoro, Jumamosi iliyopita lilifungisha ndoa iliyotafsiriwa na watu kuwa ni ya ajabu k... 07:23SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)