Mwaka
ulianza vibaya kwa jamaa huyu aliyefumaniwa na mke warafiki yake kipenzi
huko mbeya kwenye gesti fulani ambako walikaa huko siku nzima,
January 12, 2014
NI NOMAAA...!!! JAMAA AFUMANIWA AKILA URODA NA MKE WA RAFIKI YAKE...!! JIONEE MAPICHA HAPA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
CHAMA KIPYA CHAJA...WALIOFUKUZWA UPINZANI WAHUSISHWA
CHAMA KIPYA CHAJA...WALIOFUKUZWA UPINZANI WAHUSISHWA
WAKATI fukuto la kufukuzwa uanachama kwenye Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) likiwa bado bichi, chama kipya cha si... 21:57
WAKATI
fukuto la kufukuzwa uanachama kwenye Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) likiwa bado bichi, chama kipya cha siasa kimeanzishwa na watu
wanaodaiwa kuwa ni muungano wa wanachama
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MWANAMKE ANAITAJI NINI KWA MWANAUME?? ...... PATA UJUZI HAPA
MWANAMKE ANAITAJI NINI KWA MWANAUME?? ...... PATA UJUZI HAPA
alama na hivyo kuyafanya mapenzi yao kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wa... 21:56
alama na hivyo kuyafanya mapenzi yao
kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu
gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
VYAKULA 10 AMBAVYO MWANAUME ANATAKIWA KULA ILI KUONGEZA UWEZO WAKATI WA TENDO LA NDOA.
VYAKULA 10 AMBAVYO MWANAUME ANATAKIWA KULA ILI KUONGEZA UWEZO WAKATI WA TENDO LA NDOA.
CHAZA NA PWEZA Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzali... 21:46
CHAZA NA PWEZA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAPENZI YETU YANA MUDA WA WIKI 2 CHA AJBU MPENZI WANGU ANANIULIZA NINA MPANGO GANI WA NDOA ..PLEASE NISAIDIENI NIFANYEJE??
MAPENZI YETU YANA MUDA WA WIKI 2 CHA AJBU MPENZI WANGU ANANIULIZA NINA MPANGO GANI WA NDOA ..PLEASE NISAIDIENI NIFANYEJE??
Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true story Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,ta... 21:42
Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true story
Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,tangia nimemjua kwa ukaribu its about mwezi na nusu ,jana ameanza kubadilika tofauti na alivyokua mwanzo,baada ya kumuulizia (just inquisitive) sana amekuja na swali Nina mpango gani na yeye?
Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,tangia nimemjua kwa ukaribu its about mwezi na nusu ,jana ameanza kubadilika tofauti na alivyokua mwanzo,baada ya kumuulizia (just inquisitive) sana amekuja na swali Nina mpango gani na yeye?
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TANZANIA JOINS FORCES WITH BRITAIN'S NO. 1 SCHOOL TO UNEARTH FOOTBALL TALENT
TANZANIA JOINS FORCES WITH BRITAIN'S NO. 1 SCHOOL TO UNEARTH FOOTBALL TALENT
Eton Coach, Glen Pierce speaking at the press conference on Friday 10 Jan 2014 a... 21:14Eton Coach, Glen Pierce speaking at the press conference on Friday 10 Jan 2014 at Tanzania House London. |
By Jestina George,
“Tanzania has taken the first step towards producing their first Premier League player – thanks to Eton College, England’s premier public school.
“Tanzania has taken the first step towards producing their first Premier League player – thanks to Eton College, England’s premier public school.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
RAIS KIKWETE ATANGAZA JUMATATU JANUARI 13, 2014 SIKU YA MAPUMZIKO
RAIS KIKWETE ATANGAZA JUMATATU JANUARI 13, 2014 SIKU YA MAPUMZIKO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jak... 21:09Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo ameungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964.
Mapinduzi hayo yaliyoongozwa na mwasisi wa Zanzibar na Taifa la Tanzania, Hayati Abeid Amaan Karume yalifanikiwa kuung’oa madarakani utawala dhalimu wa Sultan na kuwawezesha kwa mara ya kwanza katika historia Waafrika walio wengine kujitawala ndani ya nchi yao wenyewe.
Yalikuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofungua njia ya kuzaliwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar – miezi mitatu baada ya Mapinduzi hayo – Aprili 26, 1964.
Naye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein ametangaza kuwa kesho itakuwa Siku ya Mapumziko Tanzania Visiwani kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Shein alitangaza mapumziko hayo wakati alipohutubia wananchi kwenye Uwanja wa Michezo wa Amaan mjini Zanzibar katika kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo ameungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964.
Mapinduzi hayo yaliyoongozwa na mwasisi wa Zanzibar na Taifa la Tanzania, Hayati Abeid Amaan Karume yalifanikiwa kuung’oa madarakani utawala dhalimu wa Sultan na kuwawezesha kwa mara ya kwanza katika historia Waafrika walio wengine kujitawala ndani ya nchi yao wenyewe.
Yalikuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofungua njia ya kuzaliwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar – miezi mitatu baada ya Mapinduzi hayo – Aprili 26, 1964.
Naye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein ametangaza kuwa kesho itakuwa Siku ya Mapumziko Tanzania Visiwani kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Shein alitangaza mapumziko hayo wakati alipohutubia wananchi kwenye Uwanja wa Michezo wa Amaan mjini Zanzibar katika kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi.
Imetolewa na;
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS
Ikulu,
Dar es Salaam.
Januari 12, 2014
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU JACKLINE WOLPER .... SOMA HAPA UYAJUE MAZITO
MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU JACKLINE WOLPER .... SOMA HAPA UYAJUE MAZITO
Inawezekana ukawa unajua but in real sense unahitaji kujua zaidi na Vibe ipo kukupa exclusive, mkali wa movie kwa sasa Jackline Wolper , m... 14:40Inawezekana ukawa unajua but in real sense unahitaji kujua zaidi na Vibe ipo kukupa exclusive, mkali wa movie kwa sasa Jackline Wolper , mwanadada hustler aliyezaliwa tarehe 6 December huko mjini A- town, ni ukweli usiofichika kwamba Wolper ndio
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
SHAKIRA NA RIAHANA KUKUTANA KWENYE “CANT REMEMBER TO FORGET YOU”
SHAKIRA NA RIAHANA KUKUTANA KWENYE “CANT REMEMBER TO FORGET YOU”
Ushawahi kudhani kama hawa watu wawili wanaweza kuendana katika Track moja,huku shakira akiwa ni mwimbaji wa style tofauti kabisa na... 14:38Ushawahi kudhani kama hawa watu wawili wanaweza kuendana katika Track moja,huku shakira akiwa ni mwimbaji wa style tofauti kabisa na rihanna,kitu ambacho dunia nzima inasusubiri collabo hiyo ya wawili hao ambayo ipo jikoni soon kuwa released.mwaka
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR .... SOMA ZAIDI
KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR .... SOMA ZAIDI
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hii leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka ... 14:26Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hii leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka hamsini ya mapinduzi ambayo kwenye historia yanaonyesha yaliyomaliza utawala wa Kisultani visiwani humo.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NI MIEZI SITA SASA TANGU TUACHANE LAKINI AKINIONA NA MWANAUME MWINGINE ANAKASIRIKA ... SOMA KISA HIKI
NI MIEZI SITA SASA TANGU TUACHANE LAKINI AKINIONA NA MWANAUME MWINGINE ANAKASIRIKA ... SOMA KISA HIKI
Toka nimeachana na huyu mwanaume ni miezi sita sasa lakini bado ana wivu uliopitiliza, kila akisikia niko na mwanume anampigi... 14:21SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JINSI YA KUMTOA MWANAMKE BIKRA BILA MAUMIVU ...... SOMA HAPA KIULAINI
JINSI YA KUMTOA MWANAMKE BIKRA BILA MAUMIVU ...... SOMA HAPA KIULAINI
Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki mo... 14:20Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
RAISI WA TFF, MALINZI AZINDUA KAMPENI YA ISHI HURU .... SOMA ZAIDI
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
RAMBIRAMBI MSIBA WA MTANGAZAJI SULTAN SIKILO ...SOMA ZAIDI
RAMBIRAMBI MSIBA WA MTANGAZAJI SULTAN SIKILO ...SOMA ZAIDI
Marehemu Sultan Sikilo (wa kwanza kulia) enzi za uhai wake akiwa na wanahabari Elius K... 14:14SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI
KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na waandishi wa ... 14:13SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ZANZIBAR PHOTOGARPHIC JOURNEY PRESENTED TO FORMER PRIME MINISTER EDWARD LOWASSA
ZANZIBAR PHOTOGARPHIC JOURNEY PRESENTED TO FORMER PRIME MINISTER EDWARD LOWASSA
Javed Jafferji, Tanzania top photogarpher and film maker had a pleasure to present a... 14:12SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
FAHAMU SIZE YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA WANAWAKE WENGI...SOMA HAPA KUPATA MAUJANJA
FAHAMU SIZE YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA WANAWAKE WENGI...SOMA HAPA KUPATA MAUJANJA
JAMANI NAOMBEN TUSAIDIANE KUWATOA SHAKA HAWA WENZETU WANAO JIHISI KUWA NA UUME MFUPI KWA IMEKUWA KAWAIDA HUMU ... 12:02SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
SNURA MUSHI MAMA WA MAJANGA ANASHEHEREKEA BIRTHDAY YAKE KWA STAILI HII HAPA...
SNURA MUSHI MAMA WA MAJANGA ANASHEHEREKEA BIRTHDAY YAKE KWA STAILI HII HAPA...
Leo anazaliwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura mushi a.k.a mamaa... 11:58SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TETESI ZA MIMBA YA NICK MINAJ NI YA LIL WYNE..SOMA ZAIDI
TETESI ZA MIMBA YA NICK MINAJ NI YA LIL WYNE..SOMA ZAIDI
Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine ... 09:38SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BATULI AWEKA WAZI "SIPO KWENYE MAHUSIANO YOYOTE I'M STILL SEARCHING"
BATULI AWEKA WAZI "SIPO KWENYE MAHUSIANO YOYOTE I'M STILL SEARCHING"
Akizungumza na mtandao wa Swahiliworldplanet, Batuli amesema ingawa yupo ‘single’ mwaka huu anatarajia kwenda kusoma ili kuon... 09:37SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NI NOMAA!!! HUYU JAMAA AJAOGA WALA KUGUSA MAJI KWA MIAKA 60
NI NOMAA!!! HUYU JAMAA AJAOGA WALA KUGUSA MAJI KWA MIAKA 60
Amoo Hadji, an 80-year-old Iranian man, has not taken bath for 60 years, according to the city website Bavanat.com. His skin i... 09:36Amoo Hadji, an 80-year-old Iranian man, has not taken bath for 60 years, according to the city website Bavanat.com.
His skin is scaly, you can barely see his
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
"DIAMOND NI WA "HAPA HAPA" MIMI WA INTERNATIONAL"...!!! BABY MADAHA AFUNGUKA..SOMA ZAIDI HAPA
"DIAMOND NI WA "HAPA HAPA" MIMI WA INTERNATIONAL"...!!! BABY MADAHA AFUNGUKA..SOMA ZAIDI HAPA
Baby Madaha amesema kamwe hawezi kucheza ligi moja na Diamond Platnumz. Akiongea na kipindi cha Hot Mix cha EAT... 08:52
Baby Madaha amesema kamwe hawezi kucheza ligi moja na Diamond Platnumz.
Akiongea na kipindi cha Hot Mix cha EATV Ijumaa hii, muimbaji na
muigizaji huyo wa ‘The Gal Bladder’ amesema Diamond ni msanii
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KWANINI WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA??? SOMA HAPA KUJUA SABABU HIZO
KWANINI WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA??? SOMA HAPA KUJUA SABABU HIZO
NI matumaini yangu muwazima na mlikuwa na wakati mzuri katika kumalizia weekend . Mimi niko poa kabisa tayari kuliendeleza libene... 08:48
NI
matumaini yangu muwazima na mlikuwa na wakati mzuri katika kumalizia weekend. Mimi niko poa kabisa tayari kuliendeleza libeneke la
kupeana mambo mawili matatu kuhusiana na maisha yetu ya kimapenzi.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAN UNITED YAZINDUKA, YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY
MAN UNITED YAZINDUKA, YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY
Valencia akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza 08:38SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
CHELSEA YAPANDA KILELENI, KUIFUNGA HULL CITY 2-0
CHELSEA YAPANDA KILELENI, KUIFUNGA HULL CITY 2-0
Eden Hazard alifunga bao la kwanza Chelsea ikiilaza Hull City MSHAMBULIAJI Eden Hazard 'amelipa' ... 08:35MSHAMBULIAJI Eden Hazard 'amelipa' fadhila kwa kocha Jose Mourinho baada ya kuifungia Chelsea bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Hull City na kupanda
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BARCELONA VS ATLETICO MADRID 0 - 0..... MCHEZO ULIKUWA MGUMU BALAA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PAMOJA NA KUOLEWA MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AONEKANA AKIJIACHIA KIMAPENZI .... JIONEE HAPA
PAMOJA NA KUOLEWA MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AONEKANA AKIJIACHIA KIMAPENZI .... JIONEE HAPA
Stori inaamplfy kwamba mtoto wa mwimbaji staa ... 08:00SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Hadithi .... Mimba ya Jini -07
Hadithi .... Mimba ya Jini -07
ILIPOISHIA: “Samahani shoga sikuwa na maana hiyo bali kukujua tu,” Husna alijitetea. “Si nimekueleza utanijua wasiwasi wako nini?” “Ku... 07:55“Samahani shoga sikuwa na maana hiyo bali kukujua tu,” Husna alijitetea.
“Si nimekueleza utanijua wasiwasi wako nini?”
“Kuhusu ujauzito siwezi kuamini japokuwa nina dalili zote za ujauzito huenda ni malaria, mi nataka kupima ili nihakikishe.”
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)