alama na hivyo kuyafanya mapenzi yao
kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu
gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao.
Kushindwa kuwa na elimu hii, wanaume wengi wamejikuta wakitumia ukali kuwatawala wake zao, jambo ambalo limekuwa likizidisha migogoro ya kimapenzi na hatimaye wapenzi huachana. Yafuatayo ni mambo muhimu ambayo wanawake hupenda watendewe na wapenzi wao.
Kushindwa kuwa na elimu hii, wanaume wengi wamejikuta wakitumia ukali kuwatawala wake zao, jambo ambalo limekuwa likizidisha migogoro ya kimapenzi na hatimaye wapenzi huachana. Yafuatayo ni mambo muhimu ambayo wanawake hupenda watendewe na wapenzi wao.
KUTATULIWA MATATIZO
KUBEMBELEZWA
Wanawake
hupenda kubembelezwa pale wanapokuwa na huzuni, wengi wao hawapendi
kukaripiwa, mara nyingi hupenda kuungwa mkono wanapokuwa na misuguano na
wengine. Ili mwanaume amteke kimapenzi mwanamke lazima awe nyuma yake
hata kama atakuwa na kosa. Wanawake wengi hupenda kuelimishwa zaidi kuliko kufokewa.
KUWA NAMBA MOJA
Safari
ya penzi la mwanamke haishii kwenye kumpata na kumliki, kisha kujisahau
kwa kisingizio kuwa umemuoa au umemvisha pete ya uchumba, ni zaidi ya
hapo. Jambo la tatu ambalo wanawake wengi huhitaji ni kuwa namba moja au
kupendwa. Wanapenda watangulizwe katika mapenzi na kusiwepo na mwingine wa kuchukua nafasi yao katika mazungumzo na mapenzi kwa ujumla. Wanawake hawapendi kuitwa majina mabaya kwa mfano mjinga, Malaya au kulinganishwa na wanawake wenzao wabaya.
KURIDHISHWA KWENYE TENDO
Hata
kama utakuwa na kiwango kikubwa cha mapenzi juu ya mpenzi wako kwa
kiwango gani, ukiwa dhaifu katika tendo la ndoa utayumbisha penzi lako.
Ni wajibu wa mwanaume kuhakikisha kuwa anamtosheleza mpenzi wake katika
tendo hilo. Utundu unahitajika ili kumkata kiu mpenzi wako.
MAZUNGUMZO
Wanawake
wanatajwa kuzungumza maneno 25,000 kwa siku, huku wanaume wakibaki na
kiwango cha maneno 5,000 kwa siku, hii ikiwa na maana kuwa wanawake
hupenda zaidi kujieleza walivyo mbele ya wengine. Kwa msingi huo
wakizuiwa wasiongee hujiona kama wanakosa nafasi muhimu ya kueleza
mawazo yao. Kama una mpenzi wako mpe uhuru wa kuzungumza na kumsikiliza bila kumkatiza kwa ukali.
No comments
Post a Comment