May 28, 2014

Hatimaye Picha za harusi ya Kanye na Kim zimeokena INSTAGRAM

Kwasiku kadhaa baada ya wawili hao kufunga ndoa (PRIVATELY) majarida na magazeti ya udaku dunia nzima walizisaka sana picha za harusi h... thumbnail 1 summary


Kwasiku kadhaa baada ya wawili hao kufunga ndoa (PRIVATELY) majarida na magazeti ya udaku dunia nzima walizisaka sana picha za harusi hii ya mastaa hawa bila mafanikiao..
.Hatimaye Jana usiku mwanamama Kim Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM alitupia hizi kadhaa za harusi yao na kufanya wadaku kama sisi kushare na wewe mdau.

 



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: