May 28, 2014

Mume amshtaki mkewe kwa kumyima UNYUMBA

Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa lolote Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina Da... thumbnail 1 summary

Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa lolote
Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason,
mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au kukataa kushiriki tendo la ndoa.
Mwanamke huyo alimfanyia mgao wa wiki moja kila mwezi wa kitendo
cha ndoa mumewe kwa hofu ya kushika mimba kwa mara ya tatu.
Kwa mujibu wa jarida la mtandao la Mirror, la Uingereza, Bwana Mason, ambaye kazi yake ni fundi mitambo alishinda kesi hiyo mwaka 1980.
Lakini mkewe alikataa rufaa ambapo Mason alipoteza kesi hiyo baada ya majaji kusema kuwa mahakamaisingeweza kuamua kuwa mkewe Mason alimkosea.

Nini maoni yako kuhusu tukio hili?
Source: BBC

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: