May 28, 2014

AMA KWELI PESA MPENZI BORA: CHECK MASANJA MUONEKANO WAKE MPYA NOMA SAAAAANA

Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika... thumbnail 1 summary

Masanja-Mkandamizaji-vibe-co-tzMasanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy.
 Wakati anaanza maisha masanja alikua akikaa kwenye   ‘geto’ lake  maeneo ya Tabata Aroma huku akilipa kodi ya TSh. 5,000 kwa mwezi lakini hii leo masanja anamiliki nyumba mbil iza ukweli huku moja ikiwa ni ya ghorofa maeneo hayohayo ya Tabata  na pia

anamiliki magari kama Toyota Land Cruiser V8 ma mengine.
Masanja-Mkandamizaji-Mali-zake-vibe-co-tz 
PROPS : VIBE

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: