May 28, 2014

JUST A KISS!!! Ona Mkude Simba anachofanyiwa na Penny!!

  Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila kaka yetu  (MKUDE SIMBA) kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....Hawa madada wa mjina NOUMA SAN... thumbnail 1 summary

Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila kaka yetu  (MKUDE SIMBA) kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....Hawa madada wa mjina NOUMA SANA...siunakumbuka ile ya DIVA 
Hii sasa ni ya PENNY ( yeah yuleyule aliekuwa wa Diamond P)

Ila tuache utani huu Mkisi una ma hisia hadi macho kufumbaaa.....Hii nawaachia mmalize wenyewe!!!
KISHA KAANDIKA


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: