May 28, 2014

JE UNAFAHAMU KWANINI WANAUME WANAONGOZA KWA KUTOKA NJE YA NDO...?? Soma hapa..

  Uvaaji wa wanawake wa namna hii huamsha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume kwa kiwango kikubwa sana.... Carol Botwin ambaye ni mtaa... thumbnail 1 summary
Uvaaji wa wanawake wa namna hii
huamsha hamu ya tendo la ndoa kwa
mwanaume kwa kiwango kikubwa sana....
Carol Botwin ambaye ni mtaalamu

anayeaminika sana kwenye masuala ya

tendo la ndoa na uhusiano akiwa
ameandika vitabu kadhaa kuhusu mambo
hayo, kama kile cha Men Who Can't Be
Faithful, anasema, wanaume kutoka nje,
siyo jambo wanalopanga, bali hujikuta tu
na kujilaumu au kushangaa baadaye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: