May 28, 2014

Jackline Wolper afunguka kuhusu uhusiano wake na Ney wa mitego….

Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefun... thumbnail 1 summary


jackline wolper
Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii
mkali wa Hiphop , Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa
akisikia kwamba ana mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana wala source.
Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala
hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao. Msanii huyo amekua akiandamwa na romours moja baada ya nyingine kwani alipewa scandalz ya kusagana kabla haijapotea imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G model.
Credit.Vibe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: