October 28, 2015

NGOME ZA CCM ZILIZOKWISHA POKONYWA NA WAPINZANI MPAKA SASA

Tembelea link hii ili kupata updates za chama cha mapinduzi thumbnail 1 summary
Tembelea link hii ili kupata updates za chama cha mapinduzi

1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha

5.Bunda Mjini(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi-hili Jimbo bado liko CCM
7.Buyungu(Waziri Chiza kapoteza)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(sina uhakika sana)
13.Moshi vijijini
14.Tunduma
15.Mtwara mjini
16.Bukoba Mjini(confirmed)
17.Tarime vijijini(John Heche kashinda)
18.Tarime mjini
19.Mwanga(limebaki CCM)
20.Serengeti
21.Sengerema
22.Kaliua
23.Ndanda
25.Kigoma mjini
26.Rorya
27.Ukonga
28.Kilombero
29.Longido
30.Mbozi(Zambi kashindwa)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: