August 10, 2016

Drama baada ya uume wa 50 Cent kuonekana ‘live’ kwenye episode ya tamthilia ya Power

50 Cent amevuliwa nguo kwenye tamthilia ya Power baada ya uume wake kuonekana kwenye episode mpya na amechukia. thumbnail 1 summary
50 Cent amevuliwa nguo kwenye tamthilia ya Power baada ya uume wake kuonekana kwenye episode mpya na amechukia.


Katika kile ambacho wengi wanaamini kuwa rapper huyo hakuwa serious, amemwakia mtengezaji wa tamthilia hiyo, Courtney Kemp Agboh kuwa atamuua kwa kuacha uume wake uonekane.
50 na Courtney Kemp Agboh


Rapper huyo anayeigiza kama Kanan kwenye show hiyo alitumia Instagram kuandika: ‘Man I just saw episode 4, of POWER… Courtney I’m a kill you, this is not funny. ‘I think I just saw my (eggplant icon) in a scene. What the f*** Courtney call my phone NOW!!!’

Baadaye aliandika: Auntie G money, just called me and said man what the fuck did i just watch she’s traumatized. She said she had to get up twice.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments