June 11, 2016

VIDEO: Diamond baada ya kusikia ada za namba binafsi za magari TZ zimepanda

Wakati Bajeti kuu ya serikali inasomwa Dodoma bungeni juzi ndio ilijulikana kwamba ada ya namba binafsi za magari nchini Tanzania imepand... thumbnail 1 summary
Wakati Bajeti kuu ya serikali inasomwa Dodoma bungeni juzi ndio ilijulikana kwamba ada ya namba binafsi za magari nchini Tanzania imepandishwa, ni kwa wale ambao wamekua wakiandika majina badala ya namba za mfumo wa kawaida.

Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa wenye majina badala ya namba kwenye magari yao, AyoTV imemdaka ili kupata mtazamo wake..



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments