May 27, 2016

The Game awaacha mashabiki wake midomo wazi

Rapa kutoka nchini Marekani, The Game ameonekana kwenye kipande cha video kilichozua maswali kwa mashabiki. Kipande hiko cha video kinamu... thumbnail 1 summary
Rapa kutoka nchini Marekani, The Game ameonekana kwenye kipande cha video kilichozua maswali kwa mashabiki.
Kipande hiko cha video kinamuonyesha rapa huyo [The Game] akiwa amekaliwa juu ya kifua chake
na msichana anayejulikana kama Maliah Michel ambaye ni mcheza dance wa uchi kwenye klabu ya usiku, Ace of Diamonds iliyopo Los Angeles.
Hata hivyo gumegume hilo liliwahi kuhusishwa kuwa na mahusiano na rapa mwingine, Drake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments