May 13, 2016

Selena Gomez kwenye kashfa ya kuiba mchumba wa mtu

Selena Gomez amehusishwa kwenye mahusiano na Orlando Bloom baada ya kuonekana usiku wakiwa wote klabu baada ya show huko Las Vegas, nchini ... thumbnail 1 summary
Selena Gomez amehusishwa kwenye mahusiano na Orlando Bloom baada ya kuonekana usiku wakiwa wote klabu baada ya show huko Las Vegas, nchini Marekani.


Ijumaa iliyopita Selena Gomez alifanya show kwenye ukumbi wa Mandalay Bay, Las Vegas lakini baadaye Orlando Bloom alihudhuria kwenye show hiyo kwa kushtukiza.


Orlando Bloom (39) ambaye ana mahusiano na Katy Perry, anahusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Selena Gomez (23) kutokana na picha zilizoonekana wakiwa wote baada ya show hiyo ya usiku wa Ijumaa.

Kwa taarifa za ndani zinadai kuwa Katy Perry ameamua kuachana na Orlando Bloom kutokana na picha hizo zilizosambaa mitandaoni.

Katy Perry akiwa na Orlando Bloom

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments