February 29, 2016

MKE WA MAREHEMU CAPT KOMBA: SAUTI YA DIAMOND INANIKUMBUSHA ENZI ZA UJANA WA MUME WANGU.

Mke wa aliyekuwa mtunzi wa nyimbo za uhamasishaji za chama cha mapinduzi CCM,Marehemu John Komba amesema sauti ya Diamond akiimba ni sawa... thumbnail 1 summary
Mke wa aliyekuwa mtunzi wa nyimbo za uhamasishaji za chama cha mapinduzi CCM,Marehemu John Komba amesema sauti ya Diamond akiimba ni sawa na zinafanana na ya Marehemu mume wake enzi za ujana wake.

Mama huyo aitwae Bi Salome, amedai hii ni moja kati ya sababu kubwa zinazomfanya kuwa shabiki wa muziki wa Diamond Plutnumz.

“Nasikiliza sana nyimbo za Diamond, unajua sauti yake ni kama ya Marehemu(Komba) alipokuwa kijana ni vile vile” Alisema.

Miongoni mwa nyimbo za Diamond anazozikubali ni pamoja na Nana aliyomshirikisha Mr Flavour.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: