February 29, 2016

KWANINI SISI WANAWAKE/WASICHANA WANENE NA WENYE MAKALIO HATUPATI WAUME WA KUTUOA?

Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa ... thumbnail 1 summary
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?.


2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.


NALILETA MEZANI TULIJADILI.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: