February 02, 2016

Justin Bieber Afumwa Kwenye Mgahawa Wa Mashoga !

Pop staa Justin Bieber afumwa kwenye mgahawa wa mashoga. Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amefumwa kwenye thumbnail 1 summary
Pop staa Justin Bieber afumwa kwenye mgahawa wa mashoga.
Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amefumwa kwenye mgahawa wa mashoga ulioko North Hollywood. Justin Beiber aliingia kwenye mgahawa wa Club Cobra jumamosi saa tatu usiku akiwa na mlinzi wake mmoja.

Bouncer wa club hio amesema anaimani kuwa Justin Beiber hakujua ulikuwa mgahawa wa mashoga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: