February 02, 2016

CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, F... thumbnail 1 summary
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, February 1 ameingia kwenye headlines baada ya muda mrefu kuthibitisha kuwa ataondoka FC Bayern Munichlakini hakuwa ameweka wazi klabu gani atanenda kujiunga nayo.

Manuel Pellegrini

February 1 ikiwa zimesalia saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, klabu ya Man City imetoa statement rasmi kuwa Pep Guardiola atajiunga na klabu yao na tayari amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuitumikia klabu hiyo.

Statement ya Man City iliyotolewa kuthibitisha Pep Guardio;a kujiunga na Man City mwisho wa msimu.

Hivyo Pep Guardiola atarithi mikoba ya kocha wa sasa wa Man City Manuel Pellegrinimwishoni mwa msimu huu. Sehemu ya Statement iliyotolewa na klabu hiyo inaeleza kuwaMan City imefikia makubaliano na Pep Guardiola ya kujiunga na kuifundisha Man Citymsimu wa 2016/2017.

Takwimu za Pellegrini akiwa na Man City

Rekodi ya ukocha wa Pep Guardiola akiwa katika vilabu vya FC Bayern Munich na FC Barcelona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: