January 28, 2016

Unamkumbuka Mwanamuziki Lil Kim! Huu Ndio Muonekano Wake wa Sasa...Nini Kimemtokea?

Hivi ndivyo Mwanamuziki Lil Kim Alivyo kwa sasa alivyokuwa akifanya show weekend thumbnail 1 summary



Hivi ndivyo Mwanamuziki Lil Kim Alivyo kwa sasa alivyokuwa akifanya show weekend iliyopita, Muonekano wake umebadilika sana baada ya kujaribu kujibadilisha sura kwa operations ili aendelee kuonekana msichana mbichi, pia amefanyiwa plastic surgery ya umbo lake kitu ambacho wadau wengi wamesema amezidi kuonekana kituko badala ya kupendeza......

Lil Kim Kabla na Baada ya Kuanza kujibadili sura

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: