January 28, 2016

Picha Hii ya ‘Mahaba Niue’ ya Jokate na Alikiba Yawa Gumzo Mtandaoni

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto. thumbnail 1 summary


Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto.

Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa nini.

Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia kwenye Instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: