March 09, 2015

MASKINI MTOTO MWINGINO ALIBINO AKATWA MKONO JANA

Mtoto albino, Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, mkoani Rukwa jana ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa... thumbnail 1 summary

Mtoto albino, Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, mkoani Rukwa jana ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na
watu wasiojulikana kisha kutokomea
nacho kusikojulikana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: