January 07, 2015

VIDEO: BABY BOI APAGAWA AKISHANGAA WADOGO ZAKE MAPACHA WALIOFANANA

Mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Landon alidakwa na camera ya nyumbani kwao akiwa amepigwa bumbuwazi kubwa akiwashangaa wadogo zake mapa... thumbnail 1 summary


Mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Landon alidakwa na camera ya nyumbani kwao akiwa amepigwa bumbuwazi kubwa akiwashangaa wadogo zake mapacha waliofanana, alipokutanishwa nao kwa mara ya kwanza.
Dogo Landon akiwa na wadogo zake hao mapacha

Video hii ya Landon na wadogo zake imekuwa maarufu huko mitandaoni ikitazamwa na kupendwa na mamillion ya watu.
Icheki video yenyewe hapa
Landon  akikodoa macho kwa mshangao
Landon

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: